Biblia ni kitabu ambacho kimetumia lugha ngumu kueleweka lakini kikuzungumzia wewe tu zile story zote zinakuhusu wewe unaweza kuwa david unaweza kuwa solomon
Dah wabongo bwana lazima watafute wakumtwisha zigo. Aliyebeba zigo la lawama muda wote RIP Ruge toka atangulie mbele ya haki naona bado masuala ya lawama yapo.
Nilitegemea sasa wasanii waache kulalamika wapige ela maana waliyedai anawanyonya keshafariki
Huu wimbo uwa hauchuji masikion mwangu kwangu ni kati ya nyimbo nzuri zenye ujumbe wenye hisia ukiachilia mbali hayakuwa mapenzi wa sugu.
Kipindi unatoka chid alikuwa chini ya jagged records iliyokuwa studio ya jay d na gardner.
Ila ningependa kujua ni nani alikuwa mtayarishaji wa wimbo huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.