Ni simu ipi kali kati ya hizi tatu na kwa sababu zipi?

Umeua yaani siki hzi nmetokoea kuwakubali sumsang kwa haya matoleo ya A na M kuna A10 na A20, 3O kuendelea ziko poa sanaaaa kila idara. Harafu ni dabo laini. Na bei poa kabisaaa
performance
Performance wise sidhani Kama Kuna simu ya low end inayoipita A10 Samsung. Na sababu kubwa ni uwepo wa core mbili za Cortex A73, kwa daily activities itaperform vizuri zaidi kushinda hio Tecno na Infinix.

According to Gsmarena hio Tecno Ina Cortex A7 ambayo itakuwa slow Sana, 2019 kununua simu ya cortex A7 ni kujitia Kitanzi.

Hot s4 processor yake ni ok, Haina nguvu Kama A10 ila itafanya task nyingi bila matatizo.

4G LTE
Tecno Ina band 3(1800), 7(2600), 20(800)

Infix band zake 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)

A10 band zake 1(2100), 2(1900), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500)

ukiangalia Hapo A10 Ina bands nyingi zaidi za 4G, na kwa Tanzania tunatumia 800, 1800 na 2300, ni A10 peke yake ndio inazo zote,

Tecno haina 2300 utamiss TTCL speed kubwa, ila utapata TTCL ya kawaida ya 1800

Infinix Haina 800 utamiss coverage kubwa ya 4G ya Tigo ila utapata 4G ya Tigo ya 1800 mijini.

ukaaji chaji
Hio tecno itakaa na chaji zaidi sababu ya uwepo wa cortex A7 na battery kubwa la 5000mah, Infinix na hio Samsung ni karibia zinalingana.

display
Zote ni Vimeo kwenye display Zina mavioo makubwa Sana around inch 6 wakati resolution ni Ndogo ya HD.

camera
Pia hapa hakuna Cha kuandika, ukiona simu Zina megapixel nyingiii kwa Bei Ndogo ujue hakuna kitu wanataka tu kudanganya watu wasiofahamu wanunue. Tegemea kuwekea beauty mode by default na blured pictures.

Kama ni Mimi nafanya hio decision ningenunua A10 Samsung na Bei ni around 250,000 mpaka 300,000 zaidi ya Hapo Kuna option nzuri zaidi.
Screenshot_20190713-191141.jpeg
Screenshot_20190703-100306.jpeg
 
Nimesoma maoni ya kila mtu, kila mtu anavutia kwake. Je wale wanaosema labda Tecno si nzuri je ukipiga inaongea kichina?
Hazichelewi kuelemewa unapoweka vitu,Kila unavyotumia ndivyo inavyozidi kupoteza ubora,camera ya ovyo iko saturated haina uhalisia unapopiga kitu na inapungua ubora kadri unavyozidi kuitumia,kuna mengi madhaifu na hata inafika mda tecno inaanza matatizo ya kustack kujizima na kuwaka unaweza kuta unapigiwa simu akafu ikachukua dk nzima kupokea.

Nishatumia Tecno nimeyaona hayo na hata watu wengi mtaani wanaonizunguka wanatumia hizo simu na mala nyingine wanakuja niwarekebishie kuhusu hayo matatizo.
 
A10 ni chuma bana.
simu kali kwa bei cheeee...
Bado sijaona wakufananisha na hizi smart caluculator hizo ulizozitaja.

Wenye hizo calculator mkikasirika njooni mnipige mawe nipo home๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž.
 
performance
Performance wise sidhani Kama Kuna simu ya low end inayoipita A10 Samsung. Na sababu kubwa ni uwepo wa core mbili za Cortex A73, kwa daily activities itaperform vizuri zaidi kushinda hio Tecno na Infinix.

According to Gsmarena hio Tecno Ina Cortex A7 ambayo itakuwa slow Sana, 2019 kununua simu ya cortex A7 ni kujitia Kitanzi.

Hot s4 processor yake ni ok, Haina nguvu Kama A10 ila itafanya task nyingi bila matatizo.

4G LTE
Tecno Ina band 3(1800), 7(2600), 20(800)

Infix band zake 1(2100), 3(1800), 5(850), 8(900), 38(2600), 40(2300), 41(2500)

A10 band zake 1(2100), 2(1900), 3(1800), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 38(2600), 40(2300), 41(2500)

ukiangalia Hapo A10 Ina bands nyingi zaidi za 4G, na kwa Tanzania tunatumia 800, 1800 na 2300, ni A10 peke yake ndio inazo zote,

Tecno haina 2300 utamiss TTCL speed kubwa, ila utapata TTCL ya kawaida ya 1800

Infinix Haina 800 utamiss coverage kubwa ya 4G ya Tigo ila utapata 4G ya Tigo ya 1800 mijini.

ukaaji chaji
Hio tecno itakaa na chaji zaidi sababu ya uwepo wa cortex A7 na battery kubwa la 5000mah, Infinix na hio Samsung ni karibia zinalingana.

display
Zote ni Vimeo kwenye display Zina mavioo makubwa Sana around inch 6 wakati resolution ni Ndogo ya HD.

camera
Pia hapa hakuna Cha kuandika, ukiona simu Zina megapixel nyingiii kwa Bei Ndogo ujue hakuna kitu wanataka tu kudanganya watu wasiofahamu wanunue. Tegemea kuwekea beauty mode by default na blured pictures.

Kama ni Mimi nafanya hio decision ningenunua A10 Samsung na Bei ni around 250,000 mpaka 300,000 zaidi ya Hapo Kuna option nzuri zaidi.
Kiongozi Nina lako 3 bajeti, naweza pata simu gani bora kwa hizi kampuni nzurinzuri.
 
Back
Top Bottom