Wadau ninatafuta kazi yeyote inayohusiana na heavy earth moving machines like bulldozers, excavator's, dump trucks ,wheeloaders pia kama instructor.
Nawasilisha
MUNGU aliweka mwenyewe adhabu hiyo ya kuteketeza wanadamu wote kwani ilikua lazima atolewe yesu asulubiwe ili hiyo adnabu isiwepo aiomdoe TUJIULIZE hivi katika maandiko mengi ya kiroho afrika haipo inamaana wakati wa nuhu kulikua hamna wa Afrika enzi za sodoma na gomora afrika ilikua wapi?au...
kwani man city imeanzishwa lini pia unafikiri haina wazee.mpira ni burudani bwana wacha wtu waburudike nafsi inapotaka,msisingizie ya jana kama mmeanza kufatilia mpira juzi acha wanaofatilia leo wainjoi,mbona daimond ameanza kuimba miaka hii hadi wazee wanampenda nahisi we ndio walee...
wanajua kabisa vijana wengi hawana vitambulisho nikiwa na maana hawajaandikishwa au wamepoteza vitambulisho sasa wanlipinga sana jambo hilo kwa kusingizia bajeti ndogo mbona chaguzi ndogo wanaandaa kwa gharama kubwa halafu pesa ya kuboreshea daftari haipatikani SHAME ON YOU wanatakiwa watambue...
hakuna afadhali nafikiri uwezo wao wakufikiri umekwisha we need change kwa mfumo mzima,kwani anawachagua wamfurahishe yeye na si kuwatumikia watanzania ndo maana shamsi alipewa ubunge ili awe waziri kashindwa sasa,migiro huyoo naye kapewa ubunge awe waziri mbona hampi mbatia uwaziri kama kweli...
kwa hiyo inamaana kwa kua walikua wanataka kuwashambulia ndio waue kwani hawakuwa na mabomu ya machozi maji ya kuwasha polisi wenyewe hawajatii sheria kwani kuua ndio kutii sheria,na siku zote huwa wanaambiwa piga likinuka hua wanawaruka na tatizo kubwa polisi wenyewe wengi hawajui sheria kwa...
hawa wafanya mambo ya ajabu na hayafai kumfanyia binadamu kisa ni wa upinzani mwaka 2010 niliwahi kushtakiwa kwa mkuu wangu wa kazi eti naipenda chadema ni mtu mzima na mvi zake kakomaa na hiyo ishu ccm hawafai na siku wakitoka madarakani watakua kama KANU ya kenya.RIP CCM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.