Natafuta mke lakini sina kazi!!!!

Natafuta mke lakini sina kazi!!!!

aiseee...kwani huyu jamaa hana kazi ya kufanya hadi leo at 45? ebu akuje atujibu
 
Hii ngumu kumezwa aisee,
Wadada wanapenda kudanganywa
Then mtaj utapata badaye!!!!!
 
hivi dunia ya sasa kuna mwanamke anaehitaji/anaekubali mwanaume asie na kazi wala shughuli yoyote? sidhani. Anyway, zetu dua ktk hitaji lako mkuu, pengine waweza okota nazi kwenye mwembe
 
Hii ndio definition ya haki sawa. Kuna wanawake wangapi wana miaka 42,hawana kazi na wanataka kuolewa.
 
ai..mi naona inipite tu

hahahaa mkuu chukua fursa hiyo, neema itawatembela baadae mbele ya safari. naamini wewe ni wife-material utakomaa na baba etu huyo kwa shida zote, na kwa raha zote kama zitatokea. teh teh teh
 
hahahaa mkuu chukua fursa hiyo, neema itawatembela baadae mbele ya safari. naamini wewe ni wife-material utakomaa na baba etu huyo kwa shida zote, na kwa raha zote kama zitatokea. teh teh teh

hahahaaa kazeeka age sanaaa, sitaki shida mimiiii
 
Watanzania kwa maamuzi magumu Tuko vizuri,sasa na Una buku Una njaa unaacha kula unakunywakiroba...maaamuzi magumu💃💃💃💃💃
 
Kwani kutokua na kazi maana yake ni kwamba hauna hela ??? Na tofauti ya kazi na shughuli ni ipi ??
 
Huwezi amini atakayejotosa anaweza akalamba dume
 
si bora huyu kasema ukweli wake je akidanganya halafu mkaingia mkenge
 
Back
Top Bottom