Kwa wale wajasiriamali wadogo na wakati wanaotumia mitandao ya kijamii kwenye biashara, naomba ushirikiano wenu kwenye kujaza dodoso langu hapa chini. Litachukua dakika 3 tu.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu [emoji120]...
Leo nimeamini kuwa wanawake ni viumbe visivyoeleweka...kuna thread ililetwa na mwanamke ikizungumzia wanaume wasiojipenda na akawa ana wakandia balaa..sasa hivi nasoma kitu kingine kwa mwingine..kweli mwanamke ni kiumbe kigumu sana kukiridhisha..
Leo nimeamini kuwa wanawake ni viumbe visivyoeleweka...kuna thread ililetwa na mwanamke ikizungumzia wanaume wasiojipenda na akawa ana wakandia balaa..sasa hivi nasoma kitu kingine kwa mwingine..kweli mwanamke ni kiumbe kigumu sana kukiridhisha..
Niliamini vifurushi vya tigo bundle za data sio kipimo halisi, nilikuwa nafanya update ya iPhone mb za hiyo update ni exactly 500Mb cha kushangaza nilikuwa na Mb 550 nilipo anza ku update haikumaliza
Binafsi naona kama wewe ni mhanga wa kuwahi kutoka na mtu mweupe akakuzingua, ila wapo wenye kujali na kupenda kweli kingine ni kutokujiamini kwa wanawake wengi hasa wanapokuwa na watu wa aina hiyo, wanahisi hawatodum nao au wanachipuka kwa namna mmoja au nyingine..sawa na wanaume wengi...
Ndugu yangu inaonekana bado hujaelimika kabisa..hizo scholarship zilitangazwa kwa watanzania wote bila kujali unatoka bara au visiwani nafasi walikuwa wanatoa 10 tu kila mwaka Wa masomo..ila kinacho tuathiri wengi hatutafuti information kwa wakati mimi nilikuwa mhanga wa hilo nilikuja kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.