Recent content by Mswati Original

  1. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

    Huyu bwana amesoma Project Planning pale UDOM. Kwa mujibu wa Zito Kabwe na KIGOGO yupo TISS . Rejea waraka wa Zitto kutishiwa maisha bungeni
  2. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumla shemeji yako?

    Uko sahihi kiongozi..Hiyo ya kuondoka ni redemption tosha......kuna mtu anamshauri eti amwambie Kaka ake[emoji16] huku huo uzungu haupo atakuwa buree Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumla shemeji yako?

    Daaah nmefanya mengi sanaaa. Hili la shemeji hapana. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mzaha mzaha hutumbua usaha Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Hakika mzee wangu wewe ni Fundi wa kusimulia...natamani kuja kuona kitabu chako...Hii ndio comment yangu ya kwanza baada ya Miaka kadhaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuelezea marafiki zake alivyofanya sex na mpenzi wake

    Hahaaa kuna wenzio waliona ni kitu cha Jarambeee... Wewe tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Pendekeza jina la raisi na makamo wake kwa wana jf kama tukukifanya uchaguzi wetu october

    Mswati Original - Waziri wa uwezeshaji wa Wanawake
  8. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    yap kuna huo utaratibu wa kuchanga kwa hiari! Kama siku ukihama mwajiri waweza badilisha mfuko! Ila kama ukiendelea hapo n ngumu. Kuchangia kwa hiari ni kuwa utatoa 20% zote wewe mwenyewe! LAPF ndo baba lao!
  9. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    yap kuna huo utaratibu wa kuchanga kwa hiari! Kama siku ukihama mwajiri waweza badilisha mfuko! Ila kama ukiendelea hapo n ngumu. Kuchangia kwa hiari ni kuwa utatoa 20% zote wewe mwenyewe!
  10. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Vipaji-link recruitment ni matapeli wakubwa, msije kudanganyika na ajira zao

    sijawahi ona tamko hili likifanyiwa kazi! Hata leo hawa jamaa bado wanaoperate!
  11. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    ndo maana sijawahi juta kujiunga LAPF hakika nitastaafu kwa Ufahari.
  12. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya pension

    LAPF ndo baba lao.
  13. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Mitindo hatari wakati wa mapenzi kwa wanaume

    Hahaaa uliweka POP?
  14. Mswati Original

    JamiiForums Tanzania Nafikiria Kubadili tabia na ID

    hahaaa vp wewe umebadili
Back
Top Bottom