Nafikiria Kubadili tabia na ID

Nafikiria Kubadili tabia na ID

Hutaacha uzinzi mpaka siku utakapo uvaa ubinaadamu wako na kutambua thamani ya jasho lako na fedha zako...
 
Nakumbuka msemo wa TABIA HAINA DAWA.
Kumbe kizazi cha .com wamegundua dawa ya TABIA..!!
 
Sasa wateja wako waliokuwa wanaishi mjini kwa hela yako utamwachia nani rafiki. Zungumza nao wajiandae kisaikolojia au waende kwa waganga ili shetani awaandalie wateja wengine vinginevo kurudi kijijini tena itakuwa shida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom