Recent content by mswald

  1. M

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Katiba inayopendekezwa na Mahakama ya Kadhi

    Inna-lilah wainailah rajium, msiba huu! Hekima, busara na mwongozo wa Allah unahitajika kuelewa jambo hili.Sijui elimu imetolewa namna gani kwa pande zote kulielewa jambo hili, nasikitika kuona nyufa ktk taifa kwa jambo ambalo halina madhara kwa asiehusika kabisa wakati likiwa ni mwongozo kwa...
  2. M

    Kwanini Mwl Nyerere aliwauzia Waingereza Mgodi wa Almasi wa Mwadui Shinyanga?

    Ndugu inaonekana historia ya Tz huifahamu.Kukumbusha tu, Tanganyika ilipata Uhuru wake 1961 na kua Jamhuri 1962.Mwalimu Nyerere ndie Waziri mkuu na Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Tanganyika.1940 Tanzania ilikua koloni na Nyerere was no body. Heading yako tu INAKERA. Inawezekana unachokisema ndani...
  3. M

    PICHA: Ziara ya Kinana Mtwara yafana

    CHADEMA huwa wanauzaga nini?Wanachama wao basi wanazo, tatizo la CCM ni kwamba chama ni chawanyonge labda ndo maana wanatoa bure.
  4. M

    Matokeo KIKWETE 2395 MANGULA 2397 DR SHEIN 2397 (ushindi 100%)

    Habari hapa sio 100% bali ni mambo yafuatayo; 1. Ushindi wa kishindo wa Steven Wasira 2.Ushindi alioupata January Makamba hali akiwa mchanga sana ktk siasa na kuwapita nguli kama Lukuvu 3. Uteuzi na hatimaye kushinda kwa Philip Mangunga 4.Ushindi wa Nchemba hali akiwa mchanga ktk siasa na...
  5. M

    Watakaomzuia Lowassa kugombea urais kupitia CCM hawa hapa...

    Mkubwa uko sahihi kutambua utumishi wa kipekee wa waheshimiwa hawa.Ila hutakua unawatendea haki wanajamvi kwa kumlinganisha Lowasa na yeyote ktk hawa,ED mwache tu abaki kama yeye. Madai kwamba anaungwa mkono na wan ccm pekee ndio mshangao cdm watakaoupata 2015. Mwacheni ED apange safu yake ya...
  6. M

    'Watoto wa wakubwa' wajazwa Idara ya Afya; Washika nafasi zote za Jiji, Ilala, Temeke, K’ndoni

    It's never a mere coincidence, something gat to be done!Magufuli style (Weighbridge skendo),
  7. M

    Yote haya ni matokeo ya upinzani dhaifu...?

    Like father like son!Suluhisho la matatizo yetu ni katiba iliokali na straight foward juu ya mambo ya msingi kama muundo/mfumo wa serikali, matumizi ya rasilimali za umma na uwajibikaji.Wala sio nanni kakaa Magogoni.Nikikumbuka wakati Kikwete anachaguliwa 2005 TULIKUA NA MATUMAINI SANA.Angalia...
  8. M

    CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

    Ndomaana hata vyombo vya habari havikutoa habari hii. CDM kweli kama ndo msimamo wenu, HAMNA CREDIBILITY ZAKUONGOZA NCHI HII.Bado ni wachanga sana na hata cjui tutaenda wapi-ccm wametuchosha watz bt hatuoni mbadala. U want cheap popularity at the expense of peopple's lives, assets and country's...
  9. M

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Mohamed Mtoi umesema yote na haya ndio mambo ambayo wanaojidai kuwa na msimamo mkali 'extrimists' hawataki kuyasikia.Swala sio mfumo kristo bali TULILALA WAKATI WENZETU WANAJIPANGA na saa hv tunakurupuka pila stratergy tunaanza kuulaumu mfumo. TUJENGE TAASISI na tuweke malengo na timelines...
  10. M

    Sikiliza Mahojiano na Sheikh Farid wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar

    This is the best way in which TIS should operate.Make the maximum use of info & intels u gathered during the professional kidnaping.SORRY FOR ZANZIBARIS AFFECTED BY THE EXERCISE,
  11. M

    Ukimya wa upinzani katika Matukio yanayotokea nchini, kulikoni?

    Hio ndo picha kamili.Ila mimi sishangai hata kidogo kwani washasema NCHI HAITATAWALIKA.Hivyo yoyote atakaefanya nchi isitawalike naamini watakua wanamuunga mkono.Hawajui kwamba hawa hawa ndo watanzania watakao waongoza post 2015,Nchi tunataka kawapa ila kuna walakini, they are not stratergic nor...
  12. M

    Jaji Warioba na Pro.Shivji wabishana kuhusu Bunge la Katiba

    Mkubwa hapo unatupotezea muda, hakuna point hapo.Jaji Warioba yuko sahihi zaidi ya sana.Ni ukweli usiopingika kwamba wabunge wamechaguliwa na ni wawakilishi wa wananchi tulio wengi.Sasa kwamba CCM wako wengi na wengine wachache,huo ndio uamuzi wa wananchi AU unataka wengi wawe wenye mawazo yako...
  13. M

    Matumaini ya wafanyakazi yazikwa: Serikali yagoma kurekebisha sheria ya fao la kujitoa

    Acha propaganda, swala hapa ni hoja ya fao lakujitoa.We dont care who brought it up in the first place.What we all know wabunge wote approved the bill to be the law, and that's where we are. Wabunge wote (ccm,cdm,cuf,tlp,udp,nccr) hawako makini coz they were all caught in surprise after...
  14. M

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    Si ukae kimya kama huna points,PUMBA HIZO!
  15. M

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Ndugu zangu Watanzania,sidhani kama shutuma hizi ni za kubezwa.Sisi kama wananchi tusichukue upande ktk hili,tuache ushabiki. Nape tunakuombwa uje na your side of the story na CDM muache kujibu kwa ujumla.Tuonyeshe hio mikataba pamoja na kiasi walichopewa. Ndugu yangu Mnyika...
Back
Top Bottom