Ukimya wa upinzani katika Matukio yanayotokea nchini, kulikoni?

Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si CHADEMA wala CUF.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si CHADEMA wala CUF. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

CCM wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa CHADEMA na CUF, mbona kimya kulikoni?

Unataka matamko ya nini? Wakati haya ni matendo ya kihalifu inabidi serikali iliyoko madarakani iyadhibiti.

Vyama vya upinzani vitatoa matamko na msimamo kama wao, lakini hawana uwezo wa kuzuia haya kwa sababu hawana polisi au mahakama. Ila CCM kama chama tawala kina wajibu wa kuiongoza serikali yake ichukue hatua. Vinginevyo yoyote yanayotokea lawama ni kwa CCM na serikali yake.

Kwa bahati mbaya zaidi haya ni matokea ya serikali kulea udini. Haya ndio matunda yake!
Hata hivyo serikali bado Ina uwezo wa kuchukua hatua ingawa imechelewa.
 
Nimekuwa nikifuatilia harakati za Chadema kwa muda mrefu sasa, linapokuwa linatokea jambo gumu linalohusu Taifa Chama hiki maarufu kimekuwa nyuma sasa kutoa msimamo wao. Mfano tukio la Mbagala na Zanzibar, haya kila mtu anayajua jinsi yalivyotokea lakini Chama makini bado wao hawajasikia hayo matukio labda wapo mbali na vyombo vya habari kama walivyosema. Mimi nafikiri kama kunakuwepo na mkutano sehemu ni bora wanachama tukawajulisha kabla hawapanda jukwaani ili jambo la kwanza kiongozi apandapo jukwaani aonyeshe basi kuguswa hata kama haguswi. Wananchi wanaotarajiwa kuongozwa ndo hao hao wanaopatwa na majanga kama hayo tuwaliwaze hata kwa kauli ambazo tunajua ni danganya kubwa, kwa haya viongozi wa Chadema siwatofautishi na Rais Kikwete.

Kinga ni bora kuliko tiba

Mwambie kwanza JK atoe tamko juu kifo cha Mwangosi ndio tuwalaumu wengine isitoshe siyo kila jambo unatoa tamko so what?
 
CDM wanatoa tamo pale ambapo tukio limetokea wakiwepo pale. Hapo wanalazimika kutoa tamko ama la sivyo hawataeleweka. Lakini hao mliowatuhumu kuwa wana udini wakitamka si ndiyo mtasema kuwa yanatimia ya udini? Kukaa kimya kwa Chadema ni hekima. Chadema hawana polisi wala mgambo polisi si wako chini ya ccm? Hao ndio wanaotakiwa kutoa matamko mazito ili hao wahuni wasiendelee na kuleta uvunjifu wa amani.
 
Nakubaliana na wewe 100%
hakuna chama mbadala cha kuongoza nchi, ilikuwa ni mbwembwe zao tu, wanajifanya kutupenda na kutupigania wakati wa raha tu, wakati wa matatizo hakuna anayejitokeza kusema lolote, hata kukemea tu basi tungeelewa
shame on them all, na kadi yao nawarudishia bora kukaa bila chama kuliko ujinga huu
 
Then wakishatoa tamko kinachofuata ni nini
Hatutaki matamko tunataka hatua za muhimu kumaliza kadhia hii zichukuliwe na sio matamko ya vyama
hata yakitoka matamko mia iwapo bado hali inazidi kuwa tete hayana maana
Na hao waliotoa tamko si ni chama tawala na kiongozi wake si mkuu wa nchi je tamko lao limesaidia nini wakati hakuna hatua zilizochukuliwa
hatuhitaji matamko tunahitaji hatua za ziada na amri kutoka juu kuzuia haya mambo yanayoendelea kutoka kwa mkuu wa nchi na mkuu wa serikali
 
Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si CHADEMA wala CUF.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si CHADEMA wala CUF. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

CCM wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa CHADEMA na CUF, mbona kimya kulikoni?

acheni upumbafu nyie..kwani chadema ndo serikali.?mmejenga wenyewe siasa za majitaka kwa kuwagawa watu kwa udini limewaludia wenyewe mnaanza kulalama...chadema aina dola,jeshi,mahakama wala intelijensia unataka watoe tamko litakusaidia nni wwe na selikali yako legelege...tafuteni solution ya tatizo sio kuanza kutapatapa
 
kuongea tuu haisaidii chochote kwenye suala hili...sheria ambayo hutekelezwa na sereikali yenyewe ndo tiba ya haya...matamko tuu hayasaidii chochote ndugu....!
 
Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si CHADEMA wala CUF.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si CHADEMA wala CUF. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

CCM wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa CHADEMA na CUF, mbona kimya kulikoni?
Hapo penye red sababu ni hii...

60665_10151213659827431_101888772_n.jpg
 
ALIYEPANDA NA AVUNE, hapa waliopanda ni CCM sasa CDM hawawezi kuvuna, kutoa tamko ni kijikosha. halafu hili mtoto kukojelea msaafu nalo linahitaji tamko?
 
Hio ndo picha kamili.Ila mimi sishangai hata kidogo kwani washasema NCHI HAITATAWALIKA.Hivyo yoyote atakaefanya nchi isitawalike naamini watakua wanamuunga mkono.Hawajui kwamba hawa hawa ndo watanzania watakao waongoza post 2015,Nchi tunataka kawapa ila kuna walakini, they are not stratergic nor hv long vision.Kuongezea tu, mauaji ya RPC Mwanza, jamaa hawakutoa tamko wala kuhudhuriwa na viongozi wa juu wa chama.
They dont seem like state party in near future, labda baada ya 50 more yrs.CCM imetuchosha ila mbadala HAKUNA
 
Viongozi wenye busara huzungumzia au kutoa tamko mahali na wakati unaofaa hivyo naona kwa viongozi wa vyama vya upinzani hasa CDM na CUF kukaa kimya ni sahihi zaidi kutokana na mazingira ya tukio, wakati na uelewa wa watu katika masuala mbalimbali. Wangekuwa wameshatoa tamko sasa hivi kukngekuwa na matusi, kejeli na maneno kutoka kwa watu mbalimbali kwani tumeona hili kwenye tukio la Morogoro, Iringa na kwingineko. Hata hivyo matamko katika hali hii yanapaswa kutolewa na viongozi wa dini na serikali na si vyama vya siasa, vile vile matamko tu hayasaidii isipokuwa matendo hasa mema.
 
KANIGINI umenichekesha sana mpaka mbavu zinaniuma hakiyamungu. tulia mpedwa tumeambiwa na baba yetu kuwa atapigana na wanao pigana nasi hata iwe kwa siri, maana yupo upande wetu.
 
Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si CHADEMA wala CUF.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si CHADEMA wala CUF. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

CCM wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa CHADEMA na CUF, mbona kimya kulikoni?

Mimi hapa sioni kosa la CHADEMA wala CUF kwasababu wao sio serikali... CCM wao lazima watoe tamko CHADEMA & CUF wao kama wapinzani ndio waikosoe serikali ila nadhani hapa wa kuikosoa serikali ni CHADEMA peke yake na sio CUF... Tutegemee kuona mengi zaidi ya haya... Rais kimya inaelekea yeye he his behind this issue...
 
Jamani mbona mwenyekiti wa CHAUSTA nae katoa nasaha zake?, James Mbatia wa NCCR Mageuzi hali kadhalika.
 
Mangapi wapinzani wamesema serikali imefanyia kazi? mara ngapi wapinzani kama CDM wametulalamikia kuwa wanawindwa kudhuriwa serikali kimya? Mara ngapi wapinzani wamevamiwa na magenge ya watu mpaka baadhi ya wapinzani kukatwa mapanga,na wengine kuchinjwa kama wanyama serikali kimya?au unataka watowe tu matamko ili mradi tu wametamka wakati yao hayajashugulikiwa mpaka leo... vifo vya utata kama mwangosi,utekwaji wa kina ulimboka, nk wametoa matamko je yamewahi fanyiwa kazi na serikali hii !!! alafu unasema watoe tamko la nini? kwa nani?hii serikali sikivu
Hamna haja ya matamko Mengi nazani tamko la maaskofu linatosha kwa serikali sikivu tena bahati nzuri rais,igp,tiss nk ni wa imani hiyo inayoleta vurugu ...tafakari kisha chukuwa hatua....
 
ukimya wa chadema na chama cha wananchi cuf kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si chadema wala cuf.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

Ccm wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa chadema na cuf, mbona kimya kulikoni?

kubwa kwao ni kuingia ikulu mengine yatajijua yenyewe. Hawafai hao.
 
Hizo dini zililetwa na waarabu na wazungu Sasa sisi tumejifanya kuzijua kuliko waliozileta ndo matokeo. Yake kuchanganyikiwa
 
Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si CHADEMA wala CUF.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si CHADEMA wala CUF. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

CCM wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa CHADEMA na CUF, mbona kimya kulikoni?
Lazima wafsnye utafiti kabla ya kotoa matamko. Huwezi kutolea tamko tu juu juu bila utafiti wa kujiridhisha.
 
Ukimya wa CHADEMA na chama cha wananchi CUF kutokana na matukio yanayo endelea kutokea hapa nchini ni udhaifu mkubwa sana ktk kuonesha kama hawajali inasibitisha kuwa bado wachanga kwa maswala ya kitaifa.

Matukio kama kukojolewa kitabu kitukufu cha waislam ,viongozi kimya si chadema wala cuf. Kuchomwa kwa makanisa viongozi kimya si CHADEMA wala CUF.

Kuuawa kwa polisi zanzibar viongozi kimya si CHADEMA wala CUF. Kuwa kimya ktk matukio makubwa kama haya kunaonesha kutokuwa tayari kuwaongoza watanzania.

Pia ni ishara ya kukosa huruma huku wanapo kuwa na matukio yao ya kisiasa au kijamii huwataka wananchi kuwaunga mkono.

CCM wao wametoa tamko tuwewaona aibu ipo kwa CHADEMA na CUF, mbona kimya kulikoni?

Ki - ukweli hata me nimeshangazwa sana na kitendo cha hivi vyama vinavyoitwa vya upinzani kukaa kimya haiingii akilini wao wakitendwa wanataka kila mtu awaunge mkono. Halikadhalika wakati wa uchaguzi wote wana ubiri kuacha udini na uvunjifu wa amani. Leo yote yanatokea lakini hatuoni hatua zozote za makusudi kukemea, kuonya, kushauri au jitihada za kutafuta mustakabari mbadala. Ndo maana huwa nina amini wanasiasa wengi wa tanznia ni wachumia tumbo hawana jipya wala upendo wa dhati wanasukumwa na njaa pamoja na tamaa ya madaraka tu.
 
Back
Top Bottom