Sikiliza Mahojiano na Sheikh Farid wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar

Waliomteka Dr. Ulimboka walikuja hapa JF pia kufanya spin.

Mambo ya utekaji kwa sasa yanashirikisha Usalama na polisi mpaka pale tutakapopata ushahidi mwengine.

Sijui kwa nini tulikazania serikali ilihusika kumteka Ulimboka lakini serikali hiyo hiyo au taasisi zake ziwe hazihusiki kumteka Fareed?

Nani hajui kuwa CCM imeshikwa pabaya huko Zanzibar. Malalamiko yote wanatoa CCM. Wanasema CUF ni UAMSHO, CUF ni chama cha vurugu. UAMSHO ni wahuni wa vurugu.

Bila Muungano CCM kwisha, UAMSHO wameamsha wazanzibari kuukataa Muungano huu wa kiini macho.

Soma hapa. link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/334649-tundu-lissu-na-kiini-macho-cha-muungano.html

Pia CCM wanapata wakati mgumu kwa M4C. Wafanye nini?

Haya wanayoyafanya ni kujaribu kuzuia kusambaratika kwa chama dola.

Watanzania, wadanganyika ni "kichwa cha mwendawazimu."
 
Mnabisha ? Sisi wazanzibari tuna experiance na mambo haya ya ya utekaji ,ukamatwaji,tunajua kuwa na tulikuwa tunajua walimkamata ni jeshi la police na usalama wa taifa, jeshi la police limekanusha tena kwenye vyombo vya habari.

Aibu kwao,walifikiri wanzanzibari mdebwedo ? Labda waislamu wa tanganyika mdebwedo lakini sio wazanzibari moto hauzimiki tukiuwasha,hakuna ppolice wala jeshi atakae tushughulisha,amani sisi wenyewe ndio tutakao iweka na sisi ndio tutakayo ivunja,na sio kwa mtutu wa bunduki au bomu la machozi.

Miaka 48 sasa ya muungano tumeshazoea hayo yote,wameanza kuuliwa uliwa wale wali fanya mapinduzi kama kasim Hanga,na wengine,na imefika time ikawa wazanzibari wengewe sasa wakipigwa risasi, tumeshazoeya,na kamwe hatutafumbia macho hadi pale zanzibar huru itakapo achiwa na muungano.

JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.
 
This is the best way in which TIS should operate.Make the maximum use of info & intels u gathered during the professional kidnaping.SORRY FOR ZANZIBARIS AFFECTED BY THE EXERCISE,
 
Tushikamane kwa kuchomeana makanisa na kuitana vilaza na magaidi?

Kama hatutobadilika basi baada ya risasi za moto na mabomu kutoka kwa polisi naona tunaelekea yale ya Rwanda, Burundi na Kenya.

Bora useme wewe, hawa wanafiki hawajui kuwa hizi comments zao hapa JF za kukashifu Waislam na dini yao, zinatengeneza mpasuko mkubwa katika uliokuwa umoja wa kuing'oa CCM 2015. Binafsi nimefunguka macho na sitounga tena mkono CDM, kumbe ni wanafiki wangetumia mgongo wetu halafu baadae watutenge kidini. Kafiri kweli ni kafiri tu!
 
Huyu mpuuzi anajitafutia umaarufu kama wa OSAMA.

Kwa serikali isiyo dhaifu ingekuwa sasa ni wakati wa kumkamata huyu jamaa na kumhoji sawasawa maana ya kufanya huu usanii aliyoufanya. Ukizingatia na hasara iliyopatikana na kuhatarisha uchumi wa nchi ambayo inategemea sana watalii huyu jamaa ni mtu hatari ambaye hapaswi kuachwa hivi hivi tu.
 
Samahani kama hili litachukuliwa kama tusi!! Huyu jamaa ni mpuuzi sana, yaani mpuuzi kweli!! Hivi dini yetu ya Kiislamu inaruhusu kudanganya!!

Sheikh Farid ni mpuuzi sana, ujue mahojiano hayo yamesikilizwa na Watz wote wenye akili, na hujaeleweka, nenda kajipange ndugu yangu!
 
Huyu mdogo wake Osama hii ni deal anazidi kuwaweka sawa wazanzibar kwa mara nyingine tena waislamu hao wanazidi kuendelea kutumiwa!!Mwisho wa haya hamtakua salama sababu timua timua mnayoifanya ya Watanganyika na wakristo waondoke zanzibar hata huku bara mpo wengi
 
Wanajob na wasomi wa kiislam wanajadili amani ya tz. wanadai hata Huko Rwanda ilikuwa hivi hivi kundi moja kuoenakana bora kuliko jengine.

Wanadai vyombo vya habari vy tz vingi hasa vya serekali na watu binafsi wanatumia Propagnda zaidi kuliko uhalisia jambo ambalo ni hatari zaidi kwa amani ya tz.

MY TAKE. HII REDIO KWA KWELI INAFANYA KAZI KUELIMISHA LKN BADO VYOMBO VYA TANZANIA VINAZIBA MASIKIO.

JANA NILIWAHI KUMSIKIA FARIDI HADI AKIHOJIAWA MOJA KWA MOJA KUPITIA REDIO HIO NA KUWEZA KUJUA TUKIO ZIMA, TOFAUTI NA MAGAZETI NA REDIO NYENGINE
 
Mnabisha ? Sisi wazanzibari tuna experiance na mambo haya ya ya utekaji ,ukamatwaji,tunajua kuwa na tulikuwa tunajua walimkamata ni jeshi la police na usalama wa taifa, jeshi la police limekanusha tena kwenye vyombo vya habari.

Aibu kwao,walifikiri wanzanzibari mdebwedo ? Labda waislamu wa tanganyika mdebwedo lakini sio wazanzibari moto hauzimiki tukiuwasha,hakuna ppolice wala jeshi atakae tushughulisha,amani sisi wenyewe ndio tutakao iweka na sisi ndio tutakayo ivunja,na sio kwa mtutu wa bunduki au bomu la machozi.

Miaka 48 sasa ya muungano tumeshazoea hayo yote,wameanza kuuliwa uliwa wale wali fanya mapinduzi kama kasim Hanga,na wengine,na imefika time ikawa wazanzibari wengewe sasa wakipigwa risasi, tumeshazoeya,na kamwe hatutafumbia macho hadi pale zanzibar huru itakapo achiwa na muungano.

JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.

Hee kumbe waislamu mna madaraja, Wazanzibari Grade A wa Tanganyika B
Mkitoka hapo mtasema waislamu wa Unguja Ngangari wa Pemba mdebwedo halaf mtatengana tena shenzy....ZFarid2015 UNguja Islamic Republic oyeee Farid anaukwaa usultani hivihivi kama zali! Kweli akili mali, acha niwahi kanisani misa ya Jioni!
 
Back
Top Bottom