“Tutatekeleza majaribio zaidi katika kipindi cha kila juma,kila mwezi na kila mwaka,” alieleza makamu waziri wa masuala ya kigeni Han Song-ryol alipokuwa akizungumza na mwanahabari wa BBC, John Sudworth.
Awali, Makamu wa rais wa Marekani, Mike Pence aliionya Korea kutoijaribu Marekani, akisema...