Natafuta wafadhili wa taasisi yangu ya kielimu

Natafuta wafadhili wa taasisi yangu ya kielimu

Msuyar Jr

Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
35
Reaction score
11
Mm ni mmoja ya wamiliki wa taasisi chipukizi ya kielimu Maeneo ya Mlandizi. Taasisi inasimamia michepuo ifuatayo;
a) Nursery & Day care
b) QT students
c) Resisters
d) English course

Pia Taasisi ipo katika mchakato wa kuanzisha Pre&Primary school Kwa mtaala wa kiingereza.

Naomba kama kuna mtu anafahamu utaratibu wa wafadhili waweze kutufadhili ili tuweze kufikia malengo sisi kama kampuni na yy kama mfadhili.

Aje kama mmoja wa wamiliki or aje Kwa Target ya kuwekeza.
Mradi mkubwa ambao utamnufaisha kila pande.

Mawasiliano; 0719034702
Wote Mnakaribishwa....
Mjasiriamali
 
Back
Top Bottom