Tunapamba kumbi za sherehe na kutengeneza keki

Msuyar Jr

Member
Feb 1, 2017
35
11
Habari wana jamii forum, hongeren kwa kuendelea kujituma katika kuijenga nchi yetu...
Sisi Kama kampuni tunayofuraha kuwatangazia kuwa tunashughulika na zoezi zima la kuandaa kumbi kwa ajili ya harusi, send off, kitchen party, kipaimara, ubarikio, birthdays kwa gharama nafuu Sana kulingana na jinsi unavyohitaji. Pia tunatengeneza keki kuanzia ngazi moja mpaka 5+ za kila aina. Mbali na hilo kampuni yetu inatengeneza viatu vya kike, mikoba, herein na mikufu kwa gharama ndogo...
Kwa mawasiliano zaidi, piga namba +255719034702.

Tupende kuthamini na kujali bidhaa ya nyumban. Mafanikio yanaanza na mm ww na sisi kwa pamoja tukiungana..
Asanten
 
BILA PICHA HAINOGI NDG..WEKA PICHA TUONE MFANO MLIVOPAMBA SEHEMU MBALIMBALI ..TUKIZIPENDA TUNAWATAFUTA
 
Hata kapicha ka mfano wa kazi Zenu hujaweka , ur not serious
 
c0373588ca981908f6d0218e3d2353ab.jpg
 
Kazi nzuri. Lakini jifunze kutumia mitandao ya kijamii ku-maximize biashara zako. Ukifanya biashara kwa mtindo wa miaka kumi au ishirini iliyopita ni ngumu ku win. All the best.
 
Back
Top Bottom