We nani alikwambia kama TP walitaka wamjaribu kwanza, wenyewe walitaka kumsajili moja kwa moja bt habari zilizopo ni kwamba Ajib kakataa kwa madai wameshindwana maslahi (ujinga)
We umeshindwa kuwashirikisha ndugu zako lakini imetushirikisha sisi, ina maana unaiamini mitandao kuliko ndugu?........#unazinguaWewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unayoishi wewe, kwa hyo kwa mtindo ule unawezasema walipandishwa kizimbani? Adhabu ya chini kwa mtu anayekutwa na hatia ya madawa ya kulevyo ni miaka 20 jela......ndo maana nashindwa kuwaelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.