Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Wewe hujawahi msaliti lakini?

Mwanamke akichepuka ni fedheha kwa mwanaume maana watu huhitimisha kuwa unamapungufu ndo maana kachepuka, ila mwanaume akichepuka ni tabia zao na kuwa wanaume hawaridhiki na mwanamke mmoja.
Sasa we jiulize kwa upande wako mkuu.
Tena fedhea kubwa mno.
 
Mbn hi kitu simple sana yani inakumiza kichwa fanya ivi tafuta mwanamke mwingine ambaye mzuri kuliko mke wako nenda kapime nae ngoma sawa kama yuko frsh mfanye awe nyumba ndogo yako mke wako usimuache ila tafuta mwanamke mwingine ambaye atakupa faraja kwa sasa afu pia make sure usiongee nae,uyo mke wako,usile chakula chake yani ukirudi hm kuwa bandindu kweli kweli baridika kuwa ivi kwa mdaaa atabadirika mwenyewe na nina kwambia atokuwa na amani na utashanga ili swala atalipeleka yy kwa wazazi sasa akilipeleka kwa wazazi uko ndo patamu piga biti ya kuachana nakwambia ivi atalia kama mtoto mdogo ww cheza na akili yake tu jambo dogo ilo....yy kacheat na ww cheat tena cheat wazi wazi wanawake wana wivu sana me nakwambia ataacha na atatulia otoamini atakuwa mzuri kabisa....fanya ivyo..
 
haya mambo ya ndoa bana magumu sn ndugu yangu ila chakukushauri ita ndg zake na wakwako waonyeshe sms zote usifiche hata 1 huyo hataacha pepo hilo lililoingia nigumu sn kiacha umalaya huo mtafutie washauri wazuri wawa shauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukishindwa kumuacha mkeo kwa kosa LA kumfumania utamuacha kwa kosa gani na usipomuacha hutopata Amani ya moyoni maisha yako yote pole sana ingawa inauma na inarudisha nyuma lakini chukua maamuzi magumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote ni matokeo ya usalitu ushawah kujiuliza na wewe kwann amemsaliti whether sababu ni ya msing or not lazma ijulikane aisee
Wasaliti wanajua kinachotokeaga,huyo mwanamke kama amegundulika kua ni msaliti,ajitahidi apate suluhu haraka,sisi wanaume huwa hatutabiriki,tunawezachukuliwa kama maboya lakini reaction yetu haitabiriki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ume
Duh, pole sana mkuu!

Ushauri wangu:
1.Endelea kumuomba Mungu km hii simulizi yako ni ya kweli.
2.Mkalishe chini mkeo but ongea nae taratibu na si kumpa kichapo ili akiri kwa nini anachepuka.Trust me, kichapo si suluhisho yakupasa utumie akili na busara ya baba mwenye nyumba (ambaye ndo ww sasa). Kumbuka kuna sababu nyingi zinazomsukuma mwanamke kuchepuka na sio kukazana tu.
3.At the same time fanya utafiti kimyakimya bila ya kumshirikisha mkeo kubaini chanzo cha yeye kushawishika kuchepuka. Hii ni pamoja na kuzitafakari kwa kina sms walizokuwa wakitumiana wagoni wako. Hii itakusaidia kupata picha halisi ya kile ambacho mkeo anakosa kutoka kwako.
4. Ukishapata uhakika na ukweli wa jambo hili, kaa kitako tena na mkeo kwa ajili ya kumkanya na kumueleza athari mtakazozipata kama familia pindi akiendelea kuchepuka. Mazungumzo yenu myafanyie nje ya nyumbani, yaweza kuwa hotelini, camp site ama sehemu yoyote yenye utulivu (kwa lugha nyepesi mtoe out). Kumbuka usitumie ukali ama ubabe.
5. Ukishamalizana na mkeo, mtafute mgoni wako kama utakuwa umeshambaini. Kaa nae na umweleze yote ambayo umeyabaini kuhusu yeye na mkeo, ushahidi wa sms ulizoskrinishoti n.k. (Hapa kifua kinahitajika wakati wa mazungumzo yenu). Mweleze pia aache kuchepuka na mkeo na athari anazoweza pata pindi akiendelea na ubazazi wake.

Mengine wataongezea wanajamvi.
mshauri vizuri sana maana kumpiga ni kumhukumu na ataona hukumu ilishatoka hivyo uwezekano wa kuendelea kuchepuka ni mkubwa .
Wakati mwingine mwl wa mwanamke ni kipofu hivyo hufanya jambo bila kufikiria madhara yake hivyo kikubwa ulichotakiwa ni kusubiri km amejutia naamini ataendelea kukuomba msamaha
na kwa upande wa mgoni wako ni kweli inabidi umtafute na kuongea naye kiume km ndio wale wachafuzi a alijua anatembea na mke wa mtu basi ni kutafuta njia ya kumshikisha adabu ukiwa unapenda kufuata sheria basi tafuta mwanasheria atakupa mwongozo utamfungulia kesi ya ugoni muhimu mkeo akubali kuwa shahidi wako na kwa vile una ushahidi wa picha na msg ni sbb nzuri ya kufanya hata huyo mgoni wako asizitumie vibaya na sheria ya mtandao itakulinda
 
Kila binadamu ana roho ya kujiuliza swali hili "KWA NINI"

Ulipomuonya alijiuliza ni kwa nini unamfuatilia kiasi hicho, hivyo jibu la ni kwa nini akaja kulipata kwa huyo jamaa alokuwa anamtongoza. Alijihisi ni mtamu sana ndiyo maana ukawa unamfuatilia kiasi hicho! Pole sana ila

Hakuna kilichoharibika kwa sababu hawakutumia kiungo chako chochote.
 
Wewe ndoa yako ina miaka mingapi? Huyo muumba unayesema amshukuru kwa kumuonyesha uchafu wa mkewe umeshajua kwa nini amemuonyesha? Ni kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa, na kumcha Mungu ndiyo chanzo cha maarifa, na mshahara wa dhambi ni mauti. Dhambi ya uzinzi kwenye ndoa isipotubiwa na kusamehewa itapelekea kifo cha ndoa na kifo cha mustakabali wa watoto na wanandoa kwa ujumla. Huu ni mtihani kama mwingine tu jamaa anatakiwa achukue kalamu ahangaike nao bila kuibia popote zaidi ya kwa Mungu afaulu. Huyu Massawe ni Mkristo na mwanaume wa kikristo anatakiwa kuwa mfano wa Yesu kwa kanisa ambalo ni mkewe. Kanisa ni dhaifu na linatenda dhambi kila siku na kila saa lakini Yesu hajawahi kusema wewe umejichafua sana sikusamehi. Badala yake huacha kondoo 99 na kumfuata mmoja aliyepotea. Anabisha hodi kila siku akitamani tumkaribishe Roho atuonyeshe madhaifu yetu tutubu ili tuweze kuimarika. Hatuwezi kupata vikubwa kwa kuzira na kukata tamaa wakati majaribu yapo hapa duniani kudumu wakati sisi tunapita.

Massawe limekupata gumu lakini liko ndani ya uwezo wako kulishinda. Huyo wifi hajashindikana huyo. Unavyosali "....utusamehe dhambi zetu kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea...." ndo ujue maana yake leo. Usipomsamehe mkeo na wewe ukome kusali na kutegemea majibu ya maombi. Daudi - a man after God's own heart alikuwa dhaifu eneo hilo na lilimletea madhara makubwa kwenye familia lakini aliungama na kuomba msamaha. Nabii Hosea alikuwa na mke kicheche hatari akaamua kumuacha na yule mke akafanya uzinzi wake kwa uhuru hata akapata watoto huko lakini Hosea aliambiwa amrudie mkewe achukue na wale watoto waliopatikana huko nje. Sina nia ya kuhalalisha uzinzi miongoni mwa wanandoa ila tujue si jambo geni na inawezekana kurejesha ndoa iliyokufa kabisa sembuse iliyotingishwa kidogo? Na nimesema hivi kwa sababu mdau amesema watu wa Mungu tunaangamia kwa kukosa maarifa. Maarifa anayosema Mungu ni maarifa ya Kimungu yanayotuwezesha kufanya vitu vya kimungu kama kusamehe na kupenda tena na tena. Mimi nakuombea uvuke salama.
Maneno mengiiiiii! Ila umethibitisha kilichomkuta Daudi kwa kula Mke wa mtu. Sasa jaribu kulinganisha kilichomkuta Daudi na kitakacho tokea kwa uamuzi unaotetea mtoa mada asiuchukue

Sent using Jamii Forums mobile app
 


'mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyew" na huku kuna wanaume wapumbavu kama 78% hivi!sasa nan mpumbavu kama si nyie!

mara sijui heri kukaa kwenye kona ya dari kuliko kuishi na mwanamke mwenye maneno mengi!
unafanya fauls daily unataka nisiseme! upo km mvulana wa 3rd/2nd yr!hujitambui kama umeoa!upo upo tu company za kijinga jinga tu!tukiamua kusema mnasema tuna maneno!shindweni
 
Kila binadamu ana roho ya kujiuliza swali hili "KWA NINI"

Ulipomuonya alijiuliza ni kwa nini unamfuatilia kiasi hicho, hivyo jibu la ni kwa nini akaja kulipata kwa huyo jamaa alokuwa anamtongoza. Alijihisi ni mtamu sana ndiyo maana ukawa unamfuatilia kiasi hicho! Pole sana ila

Hakuna kilichoharibika kwa sababu hawakutumia kiungo chako chochote.


nimecheka lol!
 
Kila binadamu ana roho ya kujiuliza swali hili "KWA NINI"

Ulipomuonya alijiuliza ni kwa nini unamfuatilia kiasi hicho, hivyo jibu la ni kwa nini akaja kulipata kwa huyo jamaa alokuwa anamtongoza. Alijihisi ni mtamu sana ndiyo maana ukawa unamfuatilia kiasi hicho! Pole sana ila

Hakuna kilichoharibika kwa sababu hawakutumia kiungo chako chochote.


nimecheka lol!
 
We umeshindwa kuwashirikisha ndugu zako lakini imetushirikisha sisi, ina maana unaiamini mitandao kuliko ndugu?........[HASHTAG]#unazinguaWewe[/HASHTAG]!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom