Recent content by msumariwamoto

  1. M

    PPF mnachotufanyia ni uhuni usiovumilika

    Hili ni jipu PPF wakitoa mafao yako bado wanatoa nusu nusu, lingine mfano mimi nafanya kazi mgodini na kazi yangu hatari nyingi ki-afya, kufikisha miaka 55 ni hadithi. Ajira yenyewe ya muda, mfano nina miaka 28 kazi nimefanya miezi 6. Thamani ya milioni 2 leo haitafanana na ya miaka 26 ijayo, ni...
  2. M

    Kuwa mtoto, ndugu au rafiki wa Rais si dhambi...Muacheni DC wa Kisarawe achape kazi

    Kuna kijana aligombea udiwani kupitia ccm kata ya saza jimbo la songwe alipodondokea pua philipo mulugo alimuahidi ukuu wa wilaya utafikiri anateua yeye mulugo najua hizi habari mbaya Kwake
  3. M

    Sugua gaga

    Unaweza kuficha Mia mbili
  4. M

    Donald Trump achukuliwa kuwa miongoni mwa hatari 10 duniani

    Bila shika wewe ni operator wa dump truck avatar inaonyesha wewe ni mine boy
  5. M

    Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Prof magu 47 natamani nikutukane una bahati nimepiga mswaki alfajiri hii, mnacoment kitu msichokijua, nafanya kazi mgodini najua tabu yake unaropoka tu,au umepiga kitwanga za bariiiiidi asubuhi hii
  6. M

    Mange na Mtaliano wako mmetukosea sana

    Mange instagram alidai mzungu kachukua chake tayari
  7. M

    Ingia hapa kusaini hati ya kumtaka Rosemary Odinga aombe msamaha

    Ingia instagram @rosemaryodinga uone watanzania wanavyompaka shombo ya matusi huyu dada, mbona atajuta kuwafahamu watanzania
Back
Top Bottom