PPF mnachotufanyia ni uhuni usiovumilika

PPF kwa nini mnatuzuia kujitoa kwenye fao lenu? Kama nilisimamishwa kazi halafu hamtaki kutoa hela zetu tulizokua kunakatwa na kuwekwa kwenye mfuko wenu mnategemea nini na nitaishi vipi huku nataka kujiajiri?

Mnasema hadi nifikie miaka 55, huu ni uhuni na SSRA nao wamekaa kimya tu. Kwanini?
Tuache kulalamika. Tuungane. Na tuchukue hatua. Haiwezekani pesa ni zetu ambazo tumekuwa tukikatwa toka mishahara yetu halafu watu fulani kwa uzito na uvivu wa kufikiri wazizuie eti mpaka tufikishe miaka hamsini. This is nonsense. Wao wanalipana mishahara mikubwa, wanaishi maisha kama peponi, wana uhakika wa ku-save ndiyo maana hawatujali sisi.
 
Mm ndio kwanza nimeajiriwa alaf nimejiunga na huo mfuko wa PPF naanza kukosa amani sasa mkuu dah!
Wala usikose amani Brave boy! Hapa JF usipokuwa makini unaweza kupotoshwa tu. Hebu jaribu kufikiria huyu mtu anayelalamika hapa wala hajafanya effort za kuwasiliana na uongozi ili kuwa na taarifa sahihi. Yeye kazinguana na 'kabinti' pale Moroco halafu anakimbilia JF. Aibu!
 
Ukweli ni huo. Hata mimi nimefanya mawasiliano na hao PPF kupitia namba yao ya 08001100400, na majibu yao ni hayo tu kuwa bado wanasubiri muongozo toka serikalini. Lakini wakati wao wakizuia pesa hizo, mifuko mingine inatoa pesa kama kawaida. Sasa hawa PPF wao ni akina nani? Na mbaya zaidi naposikia wakurugenzi na mameneja wamesimamishwa kazi kwa sababu wametafuna pesa nyingi, unafikiri hizo pesa ni za akina nani kama si zetu? Eti wastani wa milioni 827.98 zilizochukuliwa kama mikopo kwa wafanyakazi wa NSSF ambao kwa sasa si waajiriwa tena hakijarudishwa. Hii haikubaliki wala kuvumilika.
 
kweli hii tanzania inaelekea pabaya hatuelewi hii sheria imetungiwa wapi manake ukiwaambia wakupe barua kimaandishi hawataki sasa inakuwaje watu wanazuia pesa zetu wakati ni jasho letu sisi tunahangaika kutafuta mikopo hatupati wakati wao wanatumia pesa zetu tena bila idhini yetu jamani huu ni unyanyasaji mkubwa kwenye serikali yetu ni bora hata ppf wangekuwa wanakopesha wanachama wao kuliko hivyo wanavyofanya. pia ajira siku hizi hazipo tena na mikataba inasitishwa watu wanafukuzwa kazi kila kukicha hiii ni kama ajali kazini sasa ukifukuzwa mtu huna hata mahali pakushika inabidi utafute mtaji ukafanye hata biashara sasa mtaji wenyewe ndio huo wa ppf wanazuia hebu niambie utatokea wapi mimi ningetamani kusikia rais wetu magufuli anatoa tamko kali la haraka kwani wengi hatuna ajira tunaumia. ni bora mtu achukue pesa zake akajisomeshe au akajiajiri manake serikali yetu haina ajira tena haswa kwa vijana sasa utasubiria miaka 55 ndio ukasome au ukajiajiri? kitu kingine serikali ikumbuke kwamba kujiwekezea ni tabia ya mtu mwenyewe na sio kazi ya serikali kumfundishi mtu jinsi ya kujiwekezea kwani ni watumishi wangapi serikalini wanalipwa vizuri lakini mpaka kustaafu hawana hata nyumba ya kulala walibakia kupiga starehe mijini mwisho uzee unawakuta hawana kitu wakati walikuwa mabosi wakubwa tu serikalini sasa huyo unasema utamsaidi kumtunzia ppf zake hadi uzeeni unazani itamsaidiaje wakati amelaaniwa mpaka mwisho kujiwekezea kwake haipo kwenye damu wala sio asili yake . naomba serikali itoe tamko kwa watu wa ppf kwani huo mfuko pia ni kama utakufa kabisa manake hakuna kijana yeyote tena atakayepata ajira atakayekwenda kujiunga na huo mfuko wa PPF kwani umekuwa ukilalamikiwa miaka mingi mno sasa kama malalamiko yakizidi watakosa wanachama hii habari imekuwa sikitiko kwa wengi PPF Wasitegemee wanachama tena.
 
Wala usikose amani Brave boy! Hapa JF usipokuwa makini unaweza kupotoshwa tu. Hebu jaribu kufikiria huyu mtu anayelalamika hapa wala hajafanya effort za kuwasiliana na uongozi ili kuwa na taarifa sahihi. Yeye kazinguana na 'kabinti' pale Moroco halafu anakimbilia JF. Aibu!
Mkuu kitu kisichokuhusu bora unyamaze/PPF ni jipu kubwa pia hawatoi hata tano mimi pia ni muhanga na hii inanikatisha tamaa hata ya kuajiriwa tena kwa hali hii sielewi hii mechi mwisho wake lini lakini i hope soon watajielewa wanatakiwa wafanye nini kwa stail hii .Nonesense
 
Kwa dhiki hii ya Tanzania, nani mwenye hakika ya kufika hata miaka 40 achilia mbali hiyo 55. Sasa leo haki yako mwenyewe inazuiliwa kwa kigezo cha kuwekewa kilazima, hii sio haki.
Inasadikika kuwa Magufuli anasoma habari za mitandaoni apitie basi na hili maana mada hii ishajidiliwa mara nyingi mno. Kama kweli ni mtetezi wa wanyonge basi hapa ndipo tunapohitaji utetezi wake. Kodi waongeze kwa kila kitu, ajira wasitishe, wanafunzi watimuliwe vyuoni sasa jamani huu si uonevu wa dhahiri?
 
kweli hii tanzania inaelekea pabaya hatuelewi hii sheria imetungiwa wapi manake ukiwaambia wakupe barua kimaandishi hawataki sasa inakuwaje watu wanazuia pesa zetu wakati ni jasho letu sisi tunahangaika kutafuta mikopo hatupati wakati wao wanatumia pesa zetu tena bila idhini yetu jamani huu ni unyanyasaji mkubwa kwenye serikali yetu ni bora hata ppf wangekuwa wanakopesha wanachama wao kuliko hivyo wanavyofanya. pia ajira siku hizi hazipo tena na mikataba inasitishwa watu wanafukuzwa kazi kila kukicha hiii ni kama ajali kazini sasa ukifukuzwa mtu huna hata mahali pakushika inabidi utafute mtaji ukafanye hata biashara sasa mtaji wenyewe ndio huo wa ppf wanazuia hebu niambie utatokea wapi mimi ningetamani kusikia rais wetu magufuli anatoa tamko kali la haraka kwani wengi hatuna ajira tunaumia. ni bora mtu achukue pesa zake akajisomeshe au akajiajiri manake serikali yetu haina ajira tena haswa kwa vijana sasa utasubiria miaka 55 ndio ukasome au ukajiajiri? kitu kingine serikali ikumbuke kwamba kujiwekezea ni tabia ya mtu mwenyewe na sio kazi ya serikali kumfundishi mtu jinsi ya kujiwekezea kwani ni watumishi wangapi serikalini wanalipwa vizuri lakini mpaka kustaafu hawana hata nyumba ya kulala walibakia kupiga starehe mijini mwisho uzee unawakuta hawana kitu wakati walikuwa mabosi wakubwa tu serikalini sasa huyo unasema utamsaidi kumtunzia ppf zake hadi uzeeni unazani itamsaidiaje wakati amelaaniwa mpaka mwisho kujiwekezea kwake haipo kwenye damu wala sio asili yake . naomba serikali itoe tamko kwa watu wa ppf kwani huo mfuko pia ni kama utakufa kabisa manake hakuna kijana yeyote tena atakayepata ajira atakayekwenda kujiunga na huo mfuko wa PPF kwani umekuwa ukilalamikiwa miaka mingi mno sasa kama malalamiko yakizidi watakosa wanachama hii habari imekuwa sikitiko kwa wengi PPF Wasitegemee wanachama tena.
Tatizo moja kwa nchi hii. Tumekuwa watumwa wa kila kitu. Mzungu kama anavaa masweta kwa sababu ya baridi kwenye maeneo yake na sisi tunataka kuvaa kama mzungu tunasahau kuwa kwao mzungu uvaaji masweta ni kwa sababu ya baridi. Hii mambo ya pensheni yanatoka huko huko Magharbi, kwamba pesa za mfanyakazi zitawekwa mpaka hapo atakapofikia umri wa kustaafu kwa hiari au kwa lazima.
Kwa dhiki hii ya Tanzania, nani mwenye hakika ya kufika hata miaka 40 achilia mbali hiyo 55. Sasa leo haki yako mwenyewe inazuiliwa kwa kigezo cha kuwekewa kilazima, hii sio haki.
Inasadikika kuwa Magufuli anasoma habari za mitandaoni apitie basi na hili maana mada hii ishajidiliwa mara nyingi mno. Kama kweli ni mtetezi wa wanyonge basi hapa ndipo tunapohitaji utetezi wake. Kodi waongeze kwa kila kitu, ajira wasitishe, wanafunzi watimuliwe vyuoni sasa jamani huu si uonevu wa dhahiri?

Hizi hela ni zetu, na wala hakuna sababu ya kuziomba. Kinachotakiwa ni kuzidai. Eti sheria, sheria gai hii ambayo haiendani na uhalisia wa eneo wala haiendani na watu husika. Eti wanatuwekea pesa mpaka hapo tutakapofikisha umri wa kustaafu wa miaka 55 au 60? Je, kipindi hiki ambacho sina ajira niishi vipi wakati serikali haina mpanngo wa unemployment benefits. Mimi nitaidai pesa yangu kwa hoja, na watanipa pesa yangu maana nimechoka kuajiriwa kwa vimishahara uchwara hivi. Mshahara usioweza kuweka akiba, ajira isiyo na uhakika halafu mtu fulani au watu fulani wanakuja na kuongea kirahisirahisi tu eti miaka 55 au 60. Na wanasema haya kwa kuwa wao wana mishahara mikubwa, wana ajira za uhakika, na tayari wameshayapatia maisha tena kwa hela zetu. Kwa hili hapana.
 
PPF ni tatizo hata ufikishe miaka 60 bado ni kero waulize wastaafu ATCL wanavyohangaika japo mahakama imetoa maamuzi ya kutaka w
 
Mkuu kitu kisichokuhusu bora unyamaze/PPF ni jipu kubwa pia hawatoi hata tano mimi pia ni muhanga na hii inanikatisha tamaa hata ya kuajiriwa tena kwa hali hii sielewi hii mechi mwisho wake lini lakini i hope soon watajielewa wanatakiwa wafanye nini kwa stail hii .Nonesense
Kinanihusu sana!
 
Hili ni jipu PPF wakitoa mafao yako bado wanatoa nusu nusu, lingine mfano mimi nafanya kazi mgodini na kazi yangu hatari nyingi ki-afya, kufikisha miaka 55 ni hadithi. Ajira yenyewe ya muda, mfano nina miaka 28 kazi nimefanya miezi 6. Thamani ya milioni 2 leo haitafanana na ya miaka 26 ijayo, ni mzaha kunitunzia milioni 2 miaka 26. Jamani tunakwenda sio mahala salama
 
Wadau hii kitu bado inaendelea au wameanza kutoa?

Maana kuna fao nataka kulitoa huko PPF hata sijui itakuwaje.
 
PPF kwa nini mnatuzuia kujitoa kwenye fao lenu? Kama nilisimamishwa kazi halafu hamtaki kutoa hela zetu tulizokua kunakatwa na kuwekwa kwenye mfuko wenu mnategemea nini na nitaishi vipi huku nataka kujiajiri?

Mnasema hadi nifikie miaka 55, huu ni uhuni na SSRA nao wamekaa kimya tu.

Ni vizuri usome sheria inasemaje ili kujua masuala kama haya. Mara nyingi biashara huwa wanakwambia zile +ves lakini -ves hawasemi mpaka unapotaka kudai haki yako ndo unaanza kuambiwa. Hii ndiyo hasara ya mifuko hii katika nchi zinazoendelea ambako unakuta mwanachama/mchangiaji anapotoa pesa yake ikishaingia basi akianza kudai anaonekana kama mwizi. Ni vizuri kujifunza na kujua haki na wajibu wako pia katika mifuko hii.
 
Kweli kabisa na mm nimuhanga inabidi tutafutane wote wahanga wa hili jambo tukahoji Pesa zetu hawawezi kutupangia
 
Kiukweli ndio maaana SSRA wanatoa Uhuru wa mwanachama kuchagua mfuko anaohitaji kulingana na sifa za mfuko. Mfano LAPF unapomaliza tu unapewa pesa yako ndani ya siku 90. Haijalishi umewekeza kwa mda gani.
 
Back
Top Bottom