Katika kile kinachoonekana msuguano na chuki za wazi, familia ya aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la Dar, Wilson Kabwe imetangaza kupitia kwa msemaji wao kwamba hawataki serikali iongoze mazishi ya ndugu yao. "Tutaratibu na kuongoza mazishi wenyewe kama familia, hatutaki Serikali ihusike kwa lolote.
Ikumbukwe pamoja na kusimamishwa kazi, Kabwe amefariki dunia akiwa mtumishi wa Serikali tena wa daraja la juu.
Watumishi kadhaa wamefariki dunia kutokana kile kinachotajwa kama kihoro au woga wa kutumbuliwa. Kati ya hao ni aliyekuwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Kishapu Tarazius Kagenzi na mwingine alijinyonga hivi karibuni.
Chanzo: Magezeti ya leo RFA