Recent content by MSUMARI WA MOTO

  1. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe,hili dongo umelielekeza kwa watu gani?

    Hii bayana inamhusu Bwana PolePole.
  2. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Jay_z amethibitisha kuwa mama yake ni msagaji

    Aibu sana...!
  3. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Hamna cha kesi, Mimi ndio spika watakaa benchi mwaka mzima

    Ndugai sasa hivi na yeye ameamua kuwa Mtiifu kwa Bwana Kipara! Nadhani ameshasoma alama za nyakati! Sasa ni Rasmi, BUNGE, MAHAKAMA, pamoja na SERIKALI zote ziko chini ya Mzee wa FRENT FORD.
  4. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania hauna afya

    Upinzani wa Tanzania ulipokosea ni hapa tu! Ulinyimwa fursa za kufanya kazi za kisiasa nao wakaufyta, badala ya kuzidai kwa nguvu.
  5. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Kibiti: Polisi yaua watu wanne(4) wanaodhaniwa kujihusisha na mauaji wilayani humo

    Wamewahisi halafu wakauwauwa?
  6. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Msemaji wangu Humphrey Polepole naomba nikupinge na pia nikukosoe kiduchu!

    Nimekuelewa Mkuu.
  7. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Pale unapo pata hela za korosho na hunywi pombe..

    Kuna freedom ya kunywa soda, but not to that extent...! Ila jamaa itakuwa naye HAPANGIWI.
  8. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Mataifa(UN) hauna Mwenyekiti bali Katibu Mkuu?

    Secretary-General of the United Nations - Wikipedia
  9. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwana-CCM hakika leo leo ningehama chama

    Sasa wewe ndugu yangu uanayezungusha wowowo hapa mchana na usiku kuiteteta CCM, ulishawahi hata kuonja juice ya Ikulu?
  10. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 tangu ya kifo cha nguli wa HIP-HOP: Father Nelly

    Edit uzi wako uweke hii picha ya kaburi pale juu, ili kuweka kumbukumbu sahihi!
  11. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 tangu ya kifo cha nguli wa HIP-HOP: Father Nelly

    Ndio uzuri wa JF hapa tunanata na Fact, Hii Picha niliipiga mwaka 2011 nilipozuru kaburi lake maeneo ya Njiro, Arusha.
  12. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 tangu ya kifo cha nguli wa HIP-HOP: Father Nelly

    I used to know this guy...! Lala salama Nelson.
  13. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge Afrika Mashariki, kweli kuna watu wameumbwa, nimeamua kumpigia kampeni Fancy Ikuhi

    Kuwa mmoja wa MACCM, kumempotezea umaridadi wake.
  14. MSUMARI WA MOTO

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

    Ngada na vyeti, ni vitu viwili tofauti.
Back
Top Bottom