Pale unapo pata hela za korosho na hunywi pombe..

Wine nayo ni pombe na sie wengine hatunywi pombe aina yoyote,ungemshauri anywe redbull tu
Kuna wine zisizo na kilevi!!! Mfano PureHeaven, Ariel n.k
pure_heaven_cele_leaflet_hires.jpg
 
nliwai enda mnadan irnga sehem inaitwa pawaga nlikuta wasukuma na wa mang'ati, yaa wanakunywa soda nne ila tofaut tofaut, alianza na pepsi akaja mirinda nyeus, akaja koka badae aka2lia na fata orange nlpoulza nkaambiwa kawaida yao
 
Daaah hao ndo wameua band kabsa soda nne tofauti...
nliwai enda mnadan irnga sehem inaitwa pawaga nlikuta wasukuma na wa mang'ati, yaa wanakunywa soda nne ila tofaut tofaut, alianza na pepsi akaja mirinda nyeus, akaja koka badae aka2lia na fata orange nlpoulza nkaambiwa kawaida yao
 
nliwai enda mnadan irnga sehem inaitwa pawaga nlikuta wasukuma na wa mang'ati, yaa wanakunywa soda nne ila tofaut tofaut, alianza na pepsi akaja mirinda nyeus, akaja koka badae aka2lia na fata orange nlpoulza nkaambiwa kawaida yao
Hahahaha!
 
Back
Top Bottom