Upinzani wa Tanzania hauna afya

Upinzani wa Tanzania hauna afya

Afya ipo ya kutosha ndo maana tunawaogopa ktk kuendelea na Shughuli zao ktk kuimarisha tasisi husika
 
Huo ndio ukweli upinzani limekuwa ni eneo la kusakia fursa badala ya kuleta mawazo mbadala ya kuwapatia wananchi maendeleo ya kweli. Awamu hii fursa za kisiasa zimepungua na mirija ya kunyonyea imezibwa, hivyo itawashangaza wengi kuona wimbi kubwa la viongozi waliojiaminisha kuwa wapinzani wakirejea CCM. Binafsi sitashangaa kabisa kuwaona Lissu na Mnyika wakikabidhiwa kadi za CCM kwani msimu umebadilika. Ahsante!
pia ccm chama dhaifu kinachotegemea vyombo vya dola kutawala kwa mabavu, nami sitashangaa hiki chama kusambaratika baada ya mbeleko ya polisi kuanza kusambalatishwa huko kibiti
 
Sababu ni kuwa hakuna uhuru wala haki ya kufanya siasa zenye afya wala mijadala yenye akili! Mukulu akiruhusu wapinzani watakuwa na afya! Mshauri abadili utaona watu wanavyofunguka!
Upinzani wa kweli haukuba kuminywa.Mpaka kieleweke tafsiri yake ni pana.Nginja nginja! Pipooozi!
Wapi siku hizi. OMG Dr slaa
 
Huo ndio ukweli upinzani limekuwa ni eneo la kusakia fursa badala ya kuleta mawazo mbadala ya kuwapatia wananchi maendeleo ya kweli. Awamu hii fursa za kisiasa zimepungua na mirija ya kunyonyea imezibwa, hivyo itawashangaza wengi kuona wimbi kubwa la viongozi waliojiaminisha kuwa wapinzani wakirejea CCM. Binafsi sitashangaa kabisa kuwaona Lissu na Mnyika wakikabidhiwa kadi za CCM kwani msimu umebadilika. Ahsante!

Nimeipenda
 
Haya matatizo ya kutokuoga asubuhi ndiyo yameaharibu ufahamu wako , jaribu kuoga asubuhi utaona tofauti
 
Nawashangaa sana chama cha makinikia. Mlienda shule kusomea ujinga? Leo wapinzani wakiandaa hata mahafali tu chuoni. Polisiccm hawa hapa wanazuia. Ila UVCCM wakiandaa ruksa. Halafu leo mnajisifu na Yohane Pondamali Magugu kuwa mewatokemeza wapinzani.
Mtihani utunge ww, ujisahihishe ww halafu ujisifie umepata mia.
Kwa taarifa yako tu upinzani siyo Mbowe, Lowasa au Tundu Lissu.
Siasa mapambano. Siasa sio birthday cake. Pambaneni.Dr Slaa alipambana.Op sangara. M4C. Mabomu ya Arusha. Hakuchoka hadi JK akakonda.
Nyie mkifinywa kidogo tu nywiiii.kimya!
 
pia ccm chama dhaifu kinachotegemea vyombo vya dola kutawala kwa mabavu, nami sitashangaa hiki chama kusambaratika baada ya mbeleko ya polisi kuanza kusambalatishwa huko kibiti
Ccm ni dhaifu kwa sababu opponents ni dhaifu zaidi.Hakuna mbadala Sibadili bura yangu na rehani.
 
Kuuza kuna kosa? Magari na Mali nyingine za serikali hazijawahi kuuzwa?
Pandora box.
Teh teh teh kwa fisadi siyo kosa ila kwa asiye fisadi ni kosa.
Ushahakikiwa weye? Teh teh teh
Rambi rambi imegeuzwa mtaji wa chama cha makinikia
 
Siasa mapambano. Siasa sio birthday cake. Pambaneni.Dr Slaa alipambana.Op sangara. M4C. Mabomu ya Arusha. Hakuchoka hadi JK akakonda.
Nyie mkifinywa kidogo tu nywiiii.kimya!
Umeandika kwa povu jingi sana. Ulikuwa unaifanyia shopping hela za marehemu(rambi rambi)?
Sbb wote wanaichukua pesa za marehemu kwa nguvu wamelaaniwa.
Msalimie jamba..zi liliouza nyumba za serikali?
 
Upinzani ni nini jamani, maana naona watu wengi hata neno (upinzani )hawaelewi maana yake,

Kwa uelewa wangu kuhusu neno (upinzani) ni vitu au watu wawili au zaidi wanao pingana hoja zao kimtazamo, kwa mfano …juma na bakari wanabishaka kuhusu team zao za mpira, kila mmoja anasifia team yake kuwa ni bora na mwingine anapinga au kusema kuwa yake ndio bora zaidi,

Sasa hapo juma na bakari mpinzani ni nani=wote niwapinzani
 
Sababu ni kuwa hakuna uhuru wala haki ya kufanya siasa zenye afya wala mijadala yenye akili! Mukulu akiruhusu wapinzani watakuwa na afya! Mshauri abadili utaona watu wanavyofunguka!
Mkuu kufunguka sio ndiyo kuwa na afya, unaweza ukawa mfungukaji ikawa unafunguka ujinga tu. Lazima tukubali mirijja ya magumashi imezibwa. Ndiyo maana wapigaji wanajaribu kumuundia zengwe mkulu.
 
Mna hangaika bure ccm.na movie zenu za kupanga,upinzani usingekuwa na afya.usingekatwa kufanya mikutano ya kisiasa,wasingekamatwa.
Mlilemazwa na Mzee vya bure kwamba kila kitu siasa, mlisahau kuwa siasa sio hasa!!..
 
Upinzani wa Tanzania ulipokosea ni hapa tu!

Ulinyimwa fursa za kufanya kazi za kisiasa nao wakaufyta, badala ya kuzidai kwa nguvu.
 
Utawala bora wa CHAMA tawala ndo unaimalisha upinzani kua bora, the same to public and private sector zinavyo tegemeana katika kuleta maendeleo katika nchi
 
Back
Top Bottom