Ningekuwa mwana-CCM hakika leo leo ningehama chama

Kuhama chama tu haitoshi, tungehama hata nchi, au hata dunia tusisikie tena kitu kinachiitwa Tanzania lakini hakuna namna tutakwenda wapi!
 
Haiwezekani nikeshe mitandaoni nikiposti picha mbalimbali za Magufuli huku nikiandika "Magufuli jembe; Hapa kazi tu; Mtaisoma namba; Magufuli nitamchagua tena 2020; CCM oyee; wapinzani wajinga tuu; Makonda ni shujaa; nk." Na nisiwe appreciated, sijawahi hata kuonana na kiongozi wa chama ngazi ya Kata.

Lakini anatokea MTU mmoja anaimba nyimbo anasema "Kichaa kapewa rungu; We MTU gani hutaki kushauriwa wala kukosolewa, umerogwa wewe, unajiona ni ndugu yake Yesu; hakuna Uhuru wa habari wala taarifa ya habari, wanapindisha pindisha tu kuiogopa serikali; kuna viongozi wavuta bange, wapoo, maana wana maamuzi ya kise... Wapoo, na waliopoteza marinda, wapoo, kuna viongozi waliofoji vyeti wapooo; Mhe. hivi unamjua BASHITE?

Hili ni jipu jipya toka Kolomije; nk." Anaalikwa IKULU (State house) kwenda kula mishikaki na Rais (Mwenyekiti wa CCM), Waziri anampongeza na kumtaka atembelee Bungeni akapongezwe zaidi.
umeongea kwa uchungu lakini pole sana ndio siasa ilivyo
 
Siku hiz wanawezeshwa na polepole ili waitangazae ccm mitandao. Teh teh teh
kazi mnayo misukule ya ccm. Nafikiri kwa sasa watakuwa na ID 10 kila mmoja
-Tangu lini pombe ikaleta maendeleo?
 
Mbona hizo picha pamoja na hotuba zake zimeunganishwa toka mazingira tofauti!
 
Haiwezekani nikeshe mitandaoni nikiposti picha mbalimbali za Magufuli huku nikiandika "Magufuli jembe; Hapa kazi tu; Mtaisoma namba; Magufuli nitamchagua tena 2020; CCM oyee; wapinzani wajinga tuu; Makonda ni shujaa; nk." Na nisiwe appreciated, sijawahi hata kuonana na kiongozi wa chama ngazi ya Kata.

Lakini anatokea MTU mmoja anaimba nyimbo anasema "Kichaa kapewa rungu; We MTU gani hutaki kushauriwa wala kukosolewa, umerogwa wewe, unajiona ni ndugu yake Yesu; hakuna Uhuru wa habari wala taarifa ya habari, wanapindisha pindisha tu kuiogopa serikali; kuna viongozi wavuta bange, wapoo, maana wana maamuzi ya kise... Wapoo, na waliopoteza marinda, wapoo, kuna viongozi waliofoji vyeti wapooo; Mhe. hivi unamjua BASHITE?

Hili ni jipu jipya toka Kolomije; nk." Anaalikwa IKULU (State house) kwenda kula mishikaki na Rais (Mwenyekiti wa CCM), Waziri anampongeza na kumtaka atembelee Bungeni akapongezwe zaidi.
Safari hii mtanyooka, juice kwa ukawa huko ikulu hamna, raundi ijayo anaenda joti ikulu, andaa uzi mwing8ne wa povu!
 
Haiwezekani nikeshe mitandaoni nikiposti picha mbalimbali za Magufuli huku nikiandika "Magufuli jembe; Hapa kazi tu; Mtaisoma namba; Magufuli nitamchagua tena 2020; CCM oyee; wapinzani wajinga tuu; Makonda ni shujaa; nk." Na nisiwe appreciated, sijawahi hata kuonana na kiongozi wa chama ngazi ya Kata.
Umenikumbusha kipindi cha Dr Slaa kaipigania sana Chadema, Lowasa alikua Waziri mkuu anashiriki kupiga mabomu Chadema, ila Slaa, akapotezewa akapewa Lowasa jembe
 
upo ushahidi kwamba vijana wanaounga mkono ccm wana uwezo mdogo mno ! Wengi ni wahanga wa dhiki za familia zao , unaweza kuta huyu lizaboni anaishi kwa mmoja wa viongozi wa ccm , baada ya kukimbia dhiki kwao .

Kwa hali kama hiyo hata wakinyanyaswa vipi hawawezi kuhama ccm , watakula nini ?
 
Hapo zamani za kale Abunuwasi alimuendea mfalme akamwambia anaweza kumshonea suti ya thamani sana ambayo wenye dhambi watakuwa hawaioni na wasio na dhambi tu ndio watakuwa wanaiona. Mfalme akampa kazi Abunuwasi ya kutengeneza suti ya aina hiyo kwa ajili yake. Kwa siku kadhaa Abunuwasi alijifungia katika chumba akawa bize anashona suti ya mfalme. Baada ya siku tatu, mfalme akamtuma msaidizi wake akaangalie kazi inavyoendelea, yule msaidizi akaingia chumba alichokuwa akishonea Abunuwasi lakini hakuona kitu japo alimuona Abunuwasi akifanya vitendo kama vile yuko bize anashona nguo. Msaidizi akamwambia Abunuwasi, ‘Nimetumwa na mfalme niulizie umefikia wapi?” Abunuwasi akamjibu, “Kwani we huoni jinsi suti ilivyoanza kupendeza, ila bado namalizia nguo nyingine nataka kuanzia nguo za ndani ziwe ni hizi za kitambaa ambacho hakionekani kwa wenye dhambi”. Hakika yule msaidizi alikuwa haoni kitu lakini ili aonekane hana dhambi akaanza kusifu jinsi nguo zilivyoshonwa kwa ufundi. Akatoka na kurudi kumueleza mfalme kuwa Abunuwasi kamshonea nguo nzuri sana si za dunia hii kwa jinsi zilivyo nzuri. Mfalme alifurahi sana, kesho yake akamtuma msaidizi mwingine, nae kama yule wa jana akarudi kwa mfalme na ripoti nzuri sana ya maendeleo ya koti, pia akaleta taarifa nzuri kuwa kesho yake Abunuwasi angemaliza kazi na angeleta nguo ili mfalme azivae. Kesho yake mapema Abunuwasi akaingia katika kasri la mfalme akiwa kama kashika lundo la nguo, ambazo mwenyewe alisema wasio na dhambi tu ndio wataziona. Wasaidizi wa mfalme wote hawakuwa wanaona kitu lakini walianza kupiga makofi wakisifu jinsi nguo zilivyokuwa nzuri, hamna aliyekuwa anataka kuonekana ana dhambi. Hatimae Abunuwasi akamkabidhi mfalme nguo, mfalme nae hakuwa anaona kitu lakini ili asiambiwe ana dhambi akajidai eti nae anaziona akaanza kumsifu Abunuwasi kwa umahiri wake wa kuchagua rangi na hata ufundi wake mkubwa wa kushona. Abunuwasi akamuomba mfalme azivae zile nguo, wakaingia faragha mfalme akavua nguo zake na akaanza kuvaa nguo asizoziona kwa msaada wa Abunuwasi. Kwa vile alivua nguo zote na kuvalishwa mpya zisizoonekana, rohoni mwake alikuwa anajiona yuko uchi lakini akaona akitangaza haoni kitu wananchi wangemshangaa kuwa mfalme ana dhambi, hivyo akaendelea kusifia na kujiangalia kwenye kioo akisifu nguo zilivyompendeza. Kisha akalazimika kutoka nje ili wananchi waone nguo mpya za mfalme. Wote walikuwa wanamwona mfalme yuko uchi lakini wakawa wanaogopa kuonekana wana dhambi hivyo kila mtu akawa anashangilia na kusifu uzuri wa nguo za mfalme. Lakini ghafla mtoto moja mdogo kwa sauti kubwa akamuuliza baba yake, “Baba mbona mfalme yuko uchi?”. Minong’ono ikaanza mwishowe watu wakaanza kumuunga mkono mtoto, mfalme nae sasa aibu ikamshika kwani alijua sasa watu wote wanamuona yuko uchi, akatimka na kujificha kwenye kasri lake na hadithi yangu imeisha hapo.
 
Haiwezekani nikeshe mitandaoni nikiposti picha mbalimbali za Magufuli huku nikiandika "Magufuli jembe; Hapa kazi tu; Mtaisoma namba; Magufuli nitamchagua tena 2020; CCM oyee; wapinzani wajinga tuu; Makonda ni shujaa; nk." Na nisiwe appreciated, sijawahi hata kuonana na kiongozi wa chama ngazi ya Kata.

Lakini anatokea MTU mmoja anaimba nyimbo anasema "Kichaa kapewa rungu; We MTU gani hutaki kushauriwa wala kukosolewa, umerogwa wewe, unajiona ni ndugu yake Yesu; hakuna Uhuru wa habari wala taarifa ya habari, wanapindisha pindisha tu kuiogopa serikali; kuna viongozi wavuta bange, wapoo, maana wana maamuzi ya kise... Wapoo, na waliopoteza marinda, wapoo, kuna viongozi waliofoji vyeti wapooo; Mhe. hivi unamjua BASHITE?

Hili ni jipu jipya toka Kolomije; nk." Anaalikwa IKULU (State house) kwenda kula mishikaki na Rais (Mwenyekiti wa CCM), Waziri anampongeza na kumtaka atembelee Bungeni akapongezwe zaidi.
Mkuu Mwanahabari Huru,, umeyalipua vibaya mnooooooo!!! Haya uwezo wa kufikri, eti leo hii yanazidiwa umaarufu na Ney wa Mitego?? Uuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiii!!
 
Back
Top Bottom