Miaka 11 tangu ya kifo cha nguli wa HIP-HOP: Father Nelly

Hapa jela ban sawa swa bwana mkubwa utakiw kuua chaw ban sawa sawa bwana mkubwa n kwer uyo spack kuna kwikichi kwikichi fekeche fekeche nn kwr san half kuna tuko Zanzibar tunakunyw zanzi kuna ntingine nyingi ase zinanipaga mzk sna
 
Mbwa yupo state
Yuzzo yupo France
JCB mara Denmark mara south
Recently jombii mbwa alifiwa na mtoto wake kwa ajari ya moto state aisee hatari sana ila nadhani nako 2 nako wangebaki hip hop ya Arusha ingekuwa juu sana naona weusi kiasi wana kimbia ila si kwa speed ile ya watengwa na nako pamoja na waturutumbi
 
Hahaha

Mkuu ukija street chuganians never proud of that Weusi. Kama kuna mchuga hapa anipinge kwa hili.

Kama ilivyo kwa bwax..donii..JCB au fidoo.

Nakubaliana na wewe nako 2 nako ingeendelea kuwepo Hip Hop ingekuwa mbali. Maana kulikuwa na competition kubwa. Ila ilikuwa lazima ivunjike tu maana swagga za members hazikuendana. Machalii wa kambi ya mtoni walibinfisisha game mwisho wakaiua kambi ya mtoni wakabakia na weusi. Weusi na yenyew wameivunja wamebaki watatu sijui watajiitaje.

cognition baraka yured
 
Swagger zao zilikuwa tofauti kivipi?Ibra was really compare to Lord eyes?Bu nako alikuwa sio sana sawa na Mzee wa swagger G nako,nadhani maslai baada ya wao kuja mjini bhasi
 
Kwenye duo za music kwa experience niliyo nayo. Nikisema swagg hazikuendana namanisha hiki.

Unatakiwa kuwa na ambacho mwenzako hana. Sasa pale nako bou na lord walifanana style ya uimbaji. Ibra na yeye alifanana na G japo siyo saana. Na G alikuwa yupo tofauti na wenzake mpaka kesho. Hatumii vitu vyetu vile.

Ila weusi wamechangia kuvuruga game chuga kama nilivyosema hapo juu.
 
Mkuu umeingiza swala nzito nakumbuka walifukuzwa kwenye nyumba waliokuwa wamepanga mikocheni by then kwa sababu ya mmea,ila lord na IBRA walikuwa na wana sana inaonekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom