Recent content by Msukuma_De_Great

  1. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Seneti Vyuo Vikuu Iringa auawa na watu wasiojulikana

    Akiuwawa mwingine mniambie
  2. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania TPDC na TANOIL wana mikakati gani katika kuhakikisha wanamiliki at least 50% ya Petrol Stations zote zilizopo jiji la Dar/majiji makuu ya kibiashara?

    Serikali inachemka... serikali iandae mazingira ya raia kufanya biashara yenyewe ikisanye kodi na sio yenyewe kufanya biashara... mfano imeua Fast jet ifanye biashara sasa inataka kuwa na vituo vya mafuta wapi na wapi? Serikali ipi inasimama kiuchumi kwa kuua sekta binafsi? Muda sio mrefu...
  3. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Mwanza barabara kikwazo (Ilemela imekithiri)

    Wabunge mwanza wote ni utopolo kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkurugenzi wa Wilaya ya Mbogwe kwa kazi nzuri

    Huyu si ndo aitukanwa na JPM kuwa hana akiri Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkurugenzi wa Wilaya ya Mbogwe kwa kazi nzuri

    Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Misungwi inadhulumu ardhi za wananchi

    Huyu mnyama Nyasebwa ni shida... sio mwanadamu bali mnyama wa porini tena mbwa mwitu anasumbua sana watu pasipo kujali umri wao... kauza viwanja vya watu kwa dhuruma kanunua kiraum cha blue bahari... chuo alichosoma huyu mnyama wanatakiwa wamvue hilo gamba Tena bora kaondoka yule ndongo walikua...
  7. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Uwaziri wa Mambo ya Nje haumfai Kabudi

    Aende akasimamie course work pale jalalani
  8. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Tuliokuunga mkono juhudi zako Mheshimiwa, la uchaguzi unatutia aibu

    Huyu dingi atakufa kwa presh
  9. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam network na laini na visimbuzi vya antena imeishia wapi?

    Acha watuuzie ukwaju bana
  10. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Stendi mpya Iringa ni usumbufu mtupu

    Shida ni nane nane dodoma
  11. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu mabasi kusafiri usiku.

    Wanaoweka huu utaratibu wao wanatumia ndege na V8 wasiojali hata speed limit
  12. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tafadhali mtumbue Harrison Mwakyembe, wizara upande wa michezo imemshinda

    Simba na Yanga wamiliki ni Chama pendwa ikitokea mtu kawa na nguvu kwenye hizi timu anakua anatishia uhai wa uwepo wa chama pendwa ndio maana yanga ikiwa sawa jua simba kuna shida pia simba ikiwa poa upande wa pili kuna jambo hakuna mwaka zote zitakua sawa keep in your mind ndugu
  13. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Tanzania Huku tuendako 2020 huenda uchaguzi mkuu usiwepo kabisa

    Ndio wa wap huyu profesa John Pombe Marco Magufuli?
  14. Msukuma_De_Great

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

    Shule za mami and dady zimejaaa wakenya sasa wanataka wafanye kazi wap
Back
Top Bottom