Hivi Azam network na laini na visimbuzi vya antena imeishia wapi?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Nilisikia toka mwaka juzi kuwa Azam anakuja na line zake yaap mtandao wake ambao utaitwa Azam telecommunication

Leo ni kimya tu

Nikasikia na taarifa kuwa azam anakuja na kisimbusi cha antenna aka dvb t2 mpaka leo kimya
 
Wawekezaji kutoka Asia walisitisha Nadhani

Walitaka watumie jina la Mzee kupiga biashara, km kumbukumbu zangu zipo sawa
 
Back
Top Bottom