Uwaziri wa Mambo ya Nje haumfai Kabudi

Uwaziri wa Mambo ya Nje haumfai Kabudi

Uwaziri wa Mambo ya Nje unahitaji msomi aliyebobea kwenye masuala ya kimataifa siyo huyu Kabudi.

Kabudi anatumia nguvu kuongea, hajui kuwa yeye ni mtu wa mashauriano na mahusiano, yaani kazi yake ni kuongea kwa kusuluhisha tatizo sio kuongea kama Waziri wa Ulinzi au Waziri wa Mambo ya Ndani.

Wenzie wa kimataifa wanamcheka tu anavyokuwa anaongea kibabe utadhani ni Waziri wa Ulinzi, anapaswa abadilishwe hiyo nafasi kinyume chake tutapigwa sana, wenzetu ambao ndio nchi tunazitegemea wataamua kutukomoa kisa huyu anaeongea kwa nguvu utadhani kakabwa koo akidhani anawafokea Watanzania wenzake.

Hatubembelezi mabeberu
 
. Sio uwaziri wa mambo ya nnje tu, kabudi hastaili na hafai kuwa kwenye ngazi yoyote ya uongozi,
 
Uwaziri hausomewi kinachomsumbua Kabundi ni kukosa diplomasia kwahiyo anashindwa kujua kipi aongee wapi na nani!
Uwaziri wa Mambo ya Nje unahitaji msomi aliyebobea kwenye masuala ya kimataifa siyo huyu Kabudi.

Kabudi anatumia nguvu kuongea, hajui kuwa yeye ni mtu wa mashauriano na mahusiano, yaani kazi yake ni kuongea kwa kusuluhisha tatizo sio kuongea kama Waziri wa Ulinzi au Waziri wa Mambo ya Ndani.

Wenzie wa kimataifa wanamcheka tu anavyokuwa anaongea kibabe utadhani ni Waziri wa Ulinzi, anapaswa abadilishwe hiyo nafasi kinyume chake tutapigwa sana, wenzetu ambao ndio nchi tunazitegemea wataamua kutukomoa kisa huyu anaeongea kwa nguvu utadhani kakabwa koo akidhani anawafokea Watanzania wenzake.
 
Anafanyakazi kwa uoga anataka kumpendezesha boss wake na sio kutimiza wajibu wake.
 
Uwaziri wa Mambo ya Nje unahitaji msomi aliyebobea kwenye masuala ya kimataifa siyo huyu Kabudi.

Kabudi anatumia nguvu kuongea, hajui kuwa yeye ni mtu wa mashauriano na mahusiano, yaani kazi yake ni kuongea kwa kusuluhisha tatizo sio kuongea kama Waziri wa Ulinzi au Waziri wa Mambo ya Ndani.

Wenzie wa kimataifa wanamcheka tu anavyokuwa anaongea kibabe utadhani ni Waziri wa Ulinzi, anapaswa abadilishwe hiyo nafasi kinyume chake tutapigwa sana, wenzetu ambao ndio nchi tunazitegemea wataamua kutukomoa kisa huyu anaeongea kwa nguvu utadhani kakabwa koo akidhani anawafokea Watanzania wenzake.
Ndo alivyo akizungumza. Ni mtu mmoja jinga kabisa! lakini nishaparurana naye hadharani mbele ya Mzee Warioba, Mzee Salim na wakuu wengine. Alikuwa akipiga makelele na miye nikimpigia kelele. Nilijizuia sana nisimwambie anafanya mambo ya kikhanithi kwa sababu walikuwa wanawake[emoji85]Mwishowe alinitaka radhi...
 
Uwaziri wa Mambo ya Nje unahitaji msomi aliyebobea kwenye masuala ya kimataifa siyo huyu Kabudi.

Kabudi anatumia nguvu kuongea, hajui kuwa yeye ni mtu wa mashauriano na mahusiano, yaani kazi yake ni kuongea kwa kusuluhisha tatizo sio kuongea kama Waziri wa Ulinzi au Waziri wa Mambo ya Ndani.

Wenzie wa kimataifa wanamcheka tu anavyokuwa anaongea kibabe utadhani ni Waziri wa Ulinzi, anapaswa abadilishwe hiyo nafasi kinyume chake tutapigwa sana, wenzetu ambao ndio nchi tunazitegemea wataamua kutukomoa kisa huyu anaeongea kwa nguvu utadhani kakabwa koo akidhani anawafokea Watanzania wenzake.
Anaongea kwa nguvu akiwa na maccm wenzake. Juzi ulimuona alivyokua mpole mbele ya yule mama wa Canada? Alikua ameangalia chini muda wote alipokua anspewa lecture na yule mmama kwamba Canada siyo banana republic ambayo mihimili inaingiliana.
Kwanza aliulizwa umeniitia nini? Akajibu. Mwambie mkuu wa nchi yako aachie Ndege yetu. Akajibiwa kwa dharau sana. Hivi wewe na uprof wako hujui kwamba mkuu wa nchi yetu ni malkia Eliza? Kuanzia pale mkia kati na alikua anaomba mama amalize lecture awahi kunywa maji
 
Uwaziri wa Mambo ya Nje unahitaji msomi aliyebobea kwenye masuala ya kimataifa siyo huyu Kabudi.

Kabudi anatumia nguvu kuongea, hajui kuwa yeye ni mtu wa mashauriano na mahusiano, yaani kazi yake ni kuongea kwa kusuluhisha tatizo sio kuongea kama Waziri wa Ulinzi au Waziri wa Mambo ya Ndani.

Wenzie wa kimataifa wanamcheka tu anavyokuwa anaongea kibabe utadhani ni Waziri wa Ulinzi, anapaswa abadilishwe hiyo nafasi kinyume chake tutapigwa sana, wenzetu ambao ndio nchi tunazitegemea wataamua kutukomoa kisa huyu anaeongea kwa nguvu utadhani kakabwa koo akidhani anawafokea Watanzania wenzake.
Ikitokea akapewa wizara ya ulinzi siku ya pili atatupeleka vitani..
 
Uwaziri wa Mambo ya Nje unahitaji msomi aliyebobea kwenye masuala ya kimataifa siyo huyu Kabudi.

Kabudi anatumia nguvu kuongea, hajui kuwa yeye ni mtu wa mashauriano na mahusiano, yaani kazi yake ni kuongea kwa kusuluhisha tatizo sio kuongea kama Waziri wa Ulinzi au Waziri wa Mambo ya Ndani.

Wenzie wa kimataifa wanamcheka tu anavyokuwa anaongea kibabe utadhani ni Waziri wa Ulinzi, anapaswa abadilishwe hiyo nafasi kinyume chake tutapigwa sana, wenzetu ambao ndio nchi tunazitegemea wataamua kutukomoa kisa huyu anaeongea kwa nguvu utadhani kakabwa koo akidhani anawafokea Watanzania wenzake.
Wivu wakike. Kabud ni next president Acha wivu
 
Prof. Kabudi. Moja kati ya mawaziri bora kabisa katika serikali ya JPM.
 
Hii sio awamu ya kuwachekea mabeberu na wawakilishi wao...ni awamu ya kuanisha ukweli na kufanya yaliyo sahihi kwa wananchi wetu.
 
Back
Top Bottom