Stendi mpya Iringa ni usumbufu mtupu

Stendi mpya Iringa ni usumbufu mtupu

Dodoma je, mbona watu walilalamika hivyo hivyo. Watazoea tu. Hata kutoka MMnazi mmoja kwenda Ubungo watu tulilalamika.
Stand Mpya ya Dodoma ndo ile Niko kma uwanja Wa Mpira??au nyingine, Mana nilipita nikashangaa naambiwa tunaingia stand, kama uwanja Wa Mpira iko plain kabisa vumbi sasa
 
Miji haiwezi kukua hata siku moja mking'ang'ania sehemu moja.

Maendeleo yoyote lazima mwanzo wake uwe na changamoto.
Kwa hili la kuhamisha stend hatuna kipingamizi kabisa tena tuliona ni jema lakini imekuwa kero abiria anatoka mbeya unalazimisha ashushie stend wakati mtu anakaa ipogolo au mtu unatoka dom unalazimishwa mpaka stend abiria tunapigwa na bajaji sio poa kwa upande wangu naona hili jambo halina maana na ndo mana nikauliza hili jambo linafanywa hiv kwa faida ya nani
 
Igumbilo ni mbali mnoo....hasa safari za alfajiri
 
Maendeleo hayana chama
Ni usumbufu kweli lakini tutaona faida yake baada ya miaka kadhaa
Pale igumbilo waje wawekezaji wajenge hotel,nyumba za kulala wageni,na sehemu za starehe patachangamka
Ni pazuri view ile ya milima pametulia sana
 
Huko igumbilo ni kilometa ngapi kwa makadrio ukitokea pale mjini?
 
Stand Mpya ya Dodoma ndo ile Niko kma uwanja Wa Mpira??au nyingine, Mana nilipita nikashangaa naambiwa tunaingia stand, kama uwanja Wa Mpira iko plain kabisa vumbi sasa


Nanenane stand ya muda.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]..Mie nimezaliwa huko form 1 nikafaulu Iringa gals...!ila sikwenda coz twin angu alifeli..so tukaenda Mwembetogwa!hahaha katisha sana mitaa ya hapo kati nilikua naishi kijiweni by then ..tukahamia fidifosi[emoji23][emoji23]!..nadhan nna miaka kama 10 sijapanda kule juu . au na zaidi kbs!napamis.....Ashiana hotel[emoji16]
Kumbe umesoma mtobwa, namimi nimesoma hapo mtogwa
 
Nilikuwa nafurahia kuona stand imehamishwa kwenda Igumbilo niliona ni jambo jema mana mjini pale palikuwa pamejaa lakini sikujua kama huduma ya usafiri imegeuka kuwa kero kwa wasafiri

Jana wakati narudi kutokea Mbeya mimi nakaa Ipogolo nalazimishwa nikashushiwe stand bila sababu za msingi sijui hili jambo hili limefanywa hivi kwa faida ya nani kupelekwa kule ikabidi nitumie gharama mara mbili tena hapo hapo na mizigo yani stand imegeuka kuwa kero wa wasafiri ni bora ingerudi tu huku mjini imegeuka kuwa kero
Huwa najiuliza kama nchi hii kuna planners, yaani ukiangalia hizi stend badala ya ku solve the problem inaliongeza, hata stend ya Katavi ni the same...
 
Sahihi kabisa, kwa nini bus lisingesimama pale njia panda ya kupandisha juu?
Nachojiuliza mimi utaratibu huu umewekwa kwa faida ya nani sababu hakun ulazima kulazimisha abiria kushushiwa mpaka stend swaa la kuamishwa stendi sio tatizo
[/QUOTE]
 
Dodoma je, mbona watu walilalamika hivyo hivyo. Watazoea tu. Hata kutoka MMnazi mmoja kwenda Ubungo watu tulilalamika.
Hawajazoea ila hawana pa kukimbilia au la kufanya, ni sawa na kondoo anayepelekwa machinjioni huwa hana la kufanya
 
5 yrs hujarudi home kwenu??? Uko nje ya nchi mkuu??
Sijarud nyumban iringa 5 years sasa na kama kero zenyewe ndio kama hiz basi naweza nika ahrisha maana nili plan nikapumzike kwa wazee few months to come.
Ila nimeskia kuwa kuna baadhi ya mabasi yana stend zao juu kule town like Upendo bus..
 
Back
Top Bottom