Recent content by msukuma og toka shy

  1. msukuma og toka shy

    Tanzania na Kenya zinajitenga na Afrika? Ufa waibuka Bonde la Ufa na kuongeza uwezekano Afrika kugawanyika

    Dah kumbe some time kichwa chako hua kinakua kizima unaongea mambo ya maana kabisa
  2. msukuma og toka shy

    Rais Magufuli azindua barabara ya Isaka - Ushirombo (Km 132)

    Kwani isaka mpaka ushirombo Hakuna barabara ya lami?
  3. msukuma og toka shy

    Best 5 Storytelling Rap Songs

    Wewe hapo nadhani uko sahihi kwa ngoma za bongo lakini
  4. msukuma og toka shy

    Hadithi: Bruno the Fisherman

    Bruno kapotea ulaya
  5. msukuma og toka shy

    Hadithi: Bruno the Fisherman

    Hivi jumamosi Bado eeh
  6. msukuma og toka shy

    Hadithi: Bruno the Fisherman

    Inabidi tupitishe sheria mtu akituma uzi wake uwe mwanzo mpaka mwisho hii nikuzizarau Mb zetu tuazotumia kuingia humu kila muda tunakuta hola
  7. msukuma og toka shy

    Nikipata bahati ya kukutana na hawa wasanii nitawashauri yafuatayo:-

    Nia yako watto wavuane nguo za ndani sio bure
  8. msukuma og toka shy

    Bongo Movie bado sana! Wasanii hawajaweza kuvaa ualisia

    Tatizo mwanamke akiwa na sura nzuri kidogo mapaja yakuvutia tayari kashakua mcheza movie bongo
  9. msukuma og toka shy

    Sheria ni Msumeno, aliechukua Video ya New Force akamatwe kwa kusambaza video kinyume cha sheria za mitandao

    New force inamakosa kabla hajaovateki alikua tayari kakanyaga mstari wa kutenganisha barabara
  10. msukuma og toka shy

    Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Sasa hawa kina Lee wanatusaidia nn tukiwasoma wao tu ep nzima
  11. msukuma og toka shy

    Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

    Naamini kamanda mkuu atakua jona soon
  12. msukuma og toka shy

    Kilimanjaro Stars yaaga rasmi CECAFA baada ya kufungwa na Rwanda goli 2-1. Hii Timu Inakera kuliko Kawaida

    Hawa wachezaji sidhani Kama niwatanzania tunafungwaje siku ya uhuru? Kweli majeshi ya kukodi hayawezi kukomboa nchi.
Back
Top Bottom