McRiyckeel
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 2,127
- 12,635
August Alsina-BENEDICTION
Wewe hapo nadhani uko sahihi kwa ngoma za bongo lakiniDear mama 2pac
Boss Ferooz
Nikusaidieje Prof J
Inaniuma sana Nature
Mzee wa Busara Wachuja nafaka
Nature kwa rap katuni alikiwa hana mpinzani, moja kati ya wasanii wachache sana ninaosikiliza nyimbo zao za zamani.Kisa demu ya juma nature the best ever of all time kws storytelling
nature kachezea kichapo lango la jiji vumbi linatimka barabara gari haziend abiria wanapitiliza makwao sababu awaioni stend
Mzee wa ugali huyu, mwanetu wenyewe..Basi steve b akamwitaaa weitaa mpatie kili mbili moja moto moja baridi,
Na chenji ilobaki mpe dogo akanunue kubeli!''

STAN ya eminem ndo best story telling songIts true kwamba Alama ya rapa mzuri ni uwezo wa kughani mashairi ya kupendeza..,lakini Alama ya Rapa mkali ni uwasilishaji wake wa visa,matukio,adithi,katika njia ya kupendeza na kumvutia msikilazaji kuendelea kusikiliza nyimboo..bongo kuna nyimbo kwa upande wangu zina adithi,story za kunivutia sana..kwa uchache nataja my top 5,,Nazi in
1: Diplomats MASELA TUMEJIPANGA
2: Chindo STORY YA NYOKAA
3:Jay Mo STORY 3
4:fid q RIPOTI ZA MTAANI
5:JCB UKISIKIA PAAH
Salute kwako kamanda!!Nash mc- mitihani
Huna jipya p the mc katisha sana...inaitwa twende kilioni kwa mbele zimefumuka.p the mc- huna jipya
nash mc- tabia
Mhh!!Napenda kusikiliza mziki ila huu ulinishinda. Ungetuwekea mashairi ya hizo nyimbo ili nasi tupate story
Wale walioimba sijui sumu ya tejaMhh!!
Ulikushindaje kuusikiliza..
Dingi-mandonjo & domo kaya.
Unawafahamu mandojo & domokaya..?