DESEMBA 2007
Helikopta ilianguka juu ya Ziwa Natron na watalii wanne, msindikizaji wao mmoja Mtanzania, na maofisa watatu wa JTWZ. Hakuna aliyepoteza maisha lakini ililipuka na kuishilia mbali na moto.
JUNI 2008
Helikopta ya pili ilianguka Oljoro, Arusha, wakati ikianza safari ya kwenda Dar...