Kwanini Serikali imempiga STOP Dogo wa mbeya kutoa huduma kama Babu wa Loliondo?!?!?!?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Serikali imempiga STOP Dogo wa mbeya kutoa huduma kama Babu wa Loliondo?!?!?!?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mstahiki, Mar 28, 2011.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nini tofauti kati ya huduma ya Dogo wa mbeya na Babu wa Loliondo?!?!?!?!
   

  Attached Files:

  • dogo.JPG
   dogo.JPG
   File size:
   114.4 KB
   Views:
   39
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nadhani wana maslahi na Babu...wanaweza sema kuwa ni kuzuia sintofahamu inayoweza kuikumba nchi...but la msingi la kufahamu watanzania ni kuwa hii nchi inajiongoza yenyewe..............................................
   
 3. Dinipevu

  Dinipevu Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25

  Tunajadili nini na kwanini?......tofauti ni kwamba tiba ya babu ni ya kiimani na tiba huyo dogo ni ya asili ambaye haina vimelea vya imani.
  Pili tunatakiwa kuujua ukimwi na hasa katika vipengele vya virusi au vimelea vya ukimwi
  ili tujue kwamba ni kwanini serikali inapinga tiba asili kwa ukimwi.
  Kifupi magonjwa yote yanayosababishwa na virusi huwa hayana tiba....tuwe tunafanya
  utafitihata wa kuuliza tu.
   
 4. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Huna jipya wewe.Suala hapa ni kama tiba ya dogo inaponya au la. Watu wanatoa ushuhuda wa kupata nafuu pia. Ndo mtakapojua source ya hizo ndoto ni nini hasa. Dogo yeye ameweka wazi.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  na bado twategemea waibuke wengine kila mkoa,then wilaya na baadae ikibidi kila kaya.
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  baada ya hapo hospitali zote zifungwe. Suala la afya litakuwa juu yetu. Lol!
   
 7. P

  Popompo JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33

  nimeipenda hii!ngoja nikakupe thankx
   
 8. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,650
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Nadhani tofauti utakuwa umeiona. Ni mzaha tu. Watoto nao wanadai dozi?


  [​IMG]
   
Loading...