Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi wa Marekani Tanzania --H E Alfonso ni mshabiki wa Chadema

Discussion in 'Jamii Photos' started by mstahiki, Nov 29, 2011.

 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,570
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Sioni mantiki ya thread hii zaidi ya ushabiki tu.
  Ukiniona nimevaa kanzu ushafikiri mie isilamu nini? kumbe kivazi cha fashion tu. Weeee vipi?
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,369
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  kuvaa mwache avae ila hatutokubali kumwona akiwa na kadi ya kupigia kura mwaka 2015. Nalog off
   
 4. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  watoto wamjomba ako wanapewa vitabu angalao waweze kusoma.........serikali yako imeshindwa!!. Silog off wala nini.
  [​IMG]
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Angalia madarasa kama zizi la ngombe yani.........hayo madirisha na hilo vumbi hapo nje inakuwaje lakini. upepo kidogo hapo class wanakaa kweli?
  [​IMG]
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,409
  Likes Received: 3,577
  Trophy Points: 280
  na mgambozzzzzz???????????????
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 32,093
  Likes Received: 7,121
  Trophy Points: 280
  madarasa hayana madirisha watu wanagawana mapesa kwenye nec huko udom
   
 8. Kahabi wa Isangula

  Kahabi wa Isangula JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 691
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mshkaji anatoa madaftari na Mpira tu hakuliona Darasa nyuma yake lilovyochoka? Uhamasishaji wa watoto wawe nje ya darasa muda mwingi kwa kuwa ni Bovu?.
  Binafsi sina Chuki na Balozi, kwanza nimshukuru kwa kushuka hadi huko 'Tanzania halisi' but si busara kugawa mipira na vitabu wakati majengo yaemechoka vile. Ni sawa na mtu una njaa halafu unapewa pipi badala ya chakula...
   
 9. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 311
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usa inaipa Shave Chadema kimtindo...Chadema oyeeeeeeeeeee
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 7,452
  Likes Received: 1,580
  Trophy Points: 280
  Hapo blue hapo!! jibu lake simple sana umesahau historia?? babu zetu walihongwa shanga na nguo wao wakatoa dhahabu,alimasi, pembe za ndovu na rasilimali zingine?? wewe unapewa daftari na mpira mwenzio anakwapua uranium, wanyama walio hai nk!!!
   
Loading...