Recent content by Mstafeli

  1. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Dr. Dre asherehekea kuachana na mke wake

    4.Been there done that!
  2. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania JF ni mtandao wa Dar es salaam, wamikoani facebook inawahusu

    Kwani Maxmello mwenyewe anasemaje?
  3. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Simba Day imefutwa?

    Ingekuwa haina engine ingekuwa ni ishu, Matairi si hata mziba pancha anabadilisha tu mkuu?
  4. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Kuna ile video ya mitandaoni walimpa mashine sokwe kabisa, si akawabadilikia na kuanza kuzipiga walipo? walitoka nduki
  5. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

    Jibu ni kwamba Chidi anasimamia ukweli
  6. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    Umekosea maelekezo, ni kulia siyo kushoto
  7. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Dabi kubwa Afrika Mashariki na kati itachezwa hapa tarehe 25 Julai

    Nchi ngumu sana hii!!
  8. Mstafeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumfanya mwanamke aone wewe ndiye chanzo pekee cha furaha yake

    Je Kama magari anayo mengi, atakuona umempatia cha maana?
  9. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Toa caption inayoendana na picha hii

    "Sasa hivi hapa mambo saaafi, mi si nilikwambiaga subira haivuti bangi"
  10. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

    Haya yanayoendelea ni Mungu tu ameamua hii dhuluma isipate nafasi, mbaya zaidi zinakuja kesi juu yake kutokana na makosa yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika. Msishangae akimalizia maisha yake gerezani au kwenye hali ya kudhalilika zaidi. Kumbe ndiyo maana wahenga walisema heri ukose mali...
  11. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nipeni Likes za kutosha
  12. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Visit Tanzania ya Simba na mtazamo wa Kigwangalah

    Nipo kitambo mkuu sijui kwanini hii imenipita
  13. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Visit Tanzania ya Simba na mtazamo wa Kigwangalah

    Jina la Nassoro limetoka wapi tena?
  14. Mstafeli

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Kama Mungu aliruhusu hata Yesu afe, ingekuwaje kwa Jiwe? Mungu ana makusudi yake na haingiliwi
Back
Top Bottom