Recent content by Msonjo

  1. Msonjo

    Nikiwa Rais artificial ozone layer zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzana na kwenda kupandwa sayari nyingine

    Wanasema uchizi ni hali ya mtu kuona vitu ambavyo wengine hawavioni. Nisieleweke vibaya, ila ninachomaaniisha ni kwamba :- unapowaambia watu mambo ambayo kwa peo wao hawayaoni kama yanauhalisia na ukawa huwezi kuwathibitishia, basi lazima watakuona mwehu.
  2. Msonjo

    Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Ungepata mtu wa kukuongoza ingekuwa rahisi kwako, kwa sababu maduka ya vifaa vya simu yapo mengi na ninadra kukuta duka moja linauza kila kitu kwa bei nzuri, utakuta hiki unapata hapa na hiki unapata pale. Mfano chargers,usb, earphones, flash and the like hivi unaweza kupata vyote kwenye duka...
  3. Msonjo

    Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Hii ni biashara nzuri, japo sina uzowefunayo lakini ni biashara ambayo hata mimi natarajia kuifanya. Kuhusu mtaji wako, unatosheleza/ unawekaza kuanzanao hiyo biashara, kwa sababu bei ya jumla ya vifaa vingi vya simu ni ndogo. Mfano screen protector ambazo mtaani zinauza 3000, maduka ya jumla...
  4. Msonjo

    Waafrika sijui nani alituroga, Mtoto wako wa Primary au Seko umemkamata ana sex na mwenzake kwanini umpige badala ya kumuelimisha sex education ?

    Kuna vitu havina formula ya moja kwa moja, kikubwa ni kujitahidi kumlea mwanao katika misingi ya maadili mema na tabia njema, na kumuomba Mungu amuongoze, niishie hapo.
  5. Msonjo

    Mchungaji wa kilokole katoa ushahidi 29 wa ki-Biblia kwamba Yesu hawezi kawa Mungu! Hivi mbona hao watu wanatuchanganya.

    This is different, waislamu wote wanakubaliana kuwa Allah ni Allah, pamoja na utofauti wa mathehebu yao.
  6. Msonjo

    Hatimae nimekuwa mwanaume kamili nimeachana na ushoga

    Ushoga sio kilema ni tabia( tabia chafu) mtu akiamua kuacha anaacha, sio kama wwngi wanavyotaka kuaminisha watu kuwa wanazaliwa hivyo si kweli
  7. Msonjo

    Maziko ya Papa Francis yamefanana na ya waislamu. Hawakutaka fakhari.Wametumia Suzuki carry kubeba jenenza lake

    Hii comment yako, kuna mtu alianzisha uzi kabisa, akajibiwa kwa hoja zilizoshiba. Hata kama ni chuki basi jaribu kujenga hoja zenye mantiki.
  8. Msonjo

    Naomba ushauri: Nimegundua mke wangu ana mahusiano na jamaa ninayefahamiana naye

    Kama nje alienda kusomea digrii ya mahusiano, basi upo sahihi. Kusoma sana sio kujua kila kitu, halafu suala la kusoma nje sio big deal kihiivyo.
  9. Msonjo

    Mtu anieleze faida ya kuoa

    Basi hii ni aina ya ndoa, ambayo jamii bado haijaitambua kama ndoa.
  10. Msonjo

    Mtu anieleze faida ya kuoa

    Nikuulize swali Ikiwa unaishi kunyumba na mwanamke fulani, au ukawa na mahusiaanonae tu, hata kama hamuisihi pamoja.Ikiwa mwanaume mwingine atamtaka huyo mwanamke, na kuanza kumtongoza Wewe utamzuia huyo mwanaume asiendelee kumtongoza huyo mwanamke, au utamzuia huyo mwanamke asiende kwa huyo...
  11. Msonjo

    Mtu anieleze faida ya kuoa

    Ok,tukiacha faida binafsi, ndoa inafaida kubwa kijamii. Ukiitazama ndoa kwa kuangalia faida binafsi ambazo zitakunufaisha wewe kama wewe basi huwezi kuona faida yake. Kwa sababu mmomonyoko wa kimaadili uliopo kwenye jamii leo hii umemfanya mtu aweze kuzipata hata kama hana ndoa. Mfano wa faida...
  12. Msonjo

    Mtu anieleze faida ya kuoa

    Hujaambiwa kuna hasara za kuoa, kwa sababu sio kila mtu anafaa kuoa au kuolewa. Ni kweli tunatakiwa kujiepusha na kila lenye hasara, lakini haina maana kuwa kila lenye hasara linaachwa, kwa sababu kuna mambo mengine faida yake ni kubwa zaidi kuliko hasara yake, ambayo ni kama sawa na hakuna hasara.
Back
Top Bottom