Recent content by msongamwanja

  1. M

    Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?

    Mhhh lugha za kisheria na kitendaji zinatofautiana sana japo kimazingira hushabiiana sana
  2. M

    Baada ya hotuba ya JK Bungeni, MAALIM SEIF kungurumaa 26/03/2014 ktk kiwanja cha kibandamati ZNZ

    Safiiii sana teteeni ugali wenu wa kila siku maana wenzenu wanaakiba hadi mwakaniiiii
  3. M

    CHADEMA yapinga matokeo ya uchaguzi Jimbo la Kalenga, wana CHADEMA watoa machozi

    Hilo pigo lipo coz ccm wameshinda? Vip Dada Wa tundu lissu na Nyumba ndogo ya mbowe na Mkwe Wa ndesamburo hiyo haijawa familia ipo serikalini jikagueni saaana wote mnatumia mfumo wa kifalme na kitemi hapa chama ruhusu vijana walete mabadiliko mbowe slaa wameshindwa kukemea na kusimamia maadili...
  4. M

    CHADEMA yapinga matokeo ya uchaguzi Jimbo la Kalenga, wana CHADEMA watoa machozi

    Kweli nmeamini wanaishi kwa matukio na siku episode zikiisha cjui wataamia wapi au ndio ....
  5. M

    Siku tatu za CHADEMA walizompa rais Kikwete zimeishia wapi?

    Sasa huoni wamepata umaarrufu maana hawajasahaulika maana chama cha matukio Sasa hivi wanazungumzia posho kabla yake ilikuwa tamko la JK na nyuma kabisaaa ilikuwa Chopa Vs Zitto
  6. M

    Prince Charles told not to shake hands with Tanzania President

    Yaan ninacho shauri Mm juhudi za makusudi zichukuliwe maana sio kumnyooshea kidole Mr president ni kama sisi tunazuia shambani yaani mbugani basi wao wazuie viwandani na sokoni maana ndo ushirikiano na si unafiki wao Wa kuwatenga baadhi na kuwachagua baadhi
  7. M

    Prince Charles told not to shake hands with Tanzania President

    Hamna haja ya kuwakumbatia hawana faida mbona wao till now hawajatia saini ktk mkataba wa kioto ni upumbavu tu muuwaji wa kiafrika anatengwa Wa kizungu anapendwa wao wamefanya baadhi ya visiwa vipotee na hata bar a la Antarctic kupungua ukubwa wake wanajifanya walinda tembo hali maisha ya...
  8. M

    Kwanini Levina Mukasa alijiua UDSM?

    Naomba kuonana na Mwandishi wa Makala hii imenigusa sana nataka kufanya kitu Fulani kwa Levina na mama Zangu wote tuwasiliane +255717963033
  9. M

    Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

    Dah hapo utajua uongozi ni swala la muda mrefu na wala c kukurupuka au paukwa pakawa
  10. M

    Ungekuwa ni wewe mdada ungefanyeje.

    Real yaonesha hilo bifuu linahusiana na trust in love logistically kulea mimba na mtoto kipi ni gharama? Inauma sana kuilea mimba c yako ukijua yako mimba inapozi leo ctaki chips nataka mihogo wakati anajua kuwa co msimu wa mihogo alafu unanoambia mtoto c damu yako? Mabint acheni mapepe...
  11. M

    Dkt. Asha-Rose Migiro na tuhuma za kuhujumu mchakato wa Katiba Mpya

    CDM ni waajabu sana tazama yale waliyoyapinga Bungeni wanaenda Kupoozwa Ikulu na Vinywaji wakitoka hawana majibu tofauti na yale waliyoyakataa Bungeni ukiwadadisi Mmezungumza nn ahhh ciri yetu. Ni wanafiki walipinga nguvu ya Rais ktk Tume ya katiba mwisho nguvu palepale na wameteua wajumbe...
  12. M

    Uteuzi wa Juma Nkamia ni kuua uhuru wa vyombo vya habari - Meena

    Hiyo Absalom kibanda asimkomalie Nkamia aanze na wahariri wenzake anaowasimamia waache kununuliwa na kufuata mkumbo waandike habari za maana hata kama hazita pendwa na wengi Lakin zinamantiki na jamii na zinalinda taaluma yenu tasnia ya habari inanuka Rushwa na Ukunguru mnanunuliwa kwa vigari...
  13. M

    Ninachokijua Kuhusu Maisha Binafsi Ya Freeman Mbowe.

    Kwani mwenyewe yupo? Au wewe ni msemaji wake basi sema na la NHC na NSSF yaonesha unamajibu yote kama la ndoa unalo y? Mengine ukose type...
  14. M

    Paul Kagame: Tanzania's own spy

    Wewe kwani hao wakina kagame, museveni na walowezi Wa A kusini waliishi wapi?
  15. M

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    Anywe Maji zaidi ya liter 2 kwa siku ,atumie matunda hususan yenye fiber kwa wingi mfano papai pia ale vuakula laini kama viazi vya mchuzi na supu kwa mfululizo kikubwa Maji na matunda itakufaa
Back
Top Bottom