Ningekuwa mie nngelea mimba yangu peke yangu na nikishajifungua naendelea kumlea na kumtunza mwanangu peke yangu, halafu huyo mwanaume ole wake ajilete!
RED:1. hatuwaammini, mnakuwa na wengi
2. nilikwambia muda wa kuibeba haujafika, ukajiachia
Blue:mate yako nilishayaogea, na unajua hilo...hayawezi nitisha saa hizi
Umeonaee bidada mimba kama haimsumbui asijibweteke atafute chochote na akishajifungua asimsumbue huyo mwanaume kumdai pesa,jitahidi ajihudumie kwa kadri awezavyo wanaume hawa acha kabisa,...
aanze sasa kufanya maandalizi ya malezi ya kijacho pamoja na yeye mwenyewe, sio anajifungua ndio anaanza kuangaika walah atamsaka baba mtoto!!!!!!
Ningekuwa mie nngelea mimba yangu peke yangu na nikishajifungua naendelea kumlea na kumtunza mwanangu peke yangu, halafu huyo mwanaume ole wake ajilete!
Huo ndo ushauri maridhawa kabisa kabisa. Ameshakutema mapema kuwa usimjue sasa unaenda tena kumwambia hukuitoa kwa kuogopa tu kufa.
Komaa na mimba yako, mlete mtoto duniani, tena kimya kimya pale hospitali. Wakikuuliza jina la babaye wape jina lako la utotoni. Akijakua mkubwa mtoto mwambie babake aliliwa na nzige hivyo hayupo. Huyo mtu hakufai hata kwa dawa. Huyo ni mwanamume au ngiri pori tuu!
Habari zenu wana MMU. Nilikuwa na bf kwa bahati nzuri nina ujauzito wake.Nilipomwambia alinipa hela niitoe mimi sikuitoa nikakaa kama miezi miwili nikamwambia mimba sikuitoa kwa sababu naogopa kufa. Akasema atatoa matunzo nikijifungua na kudhibitisha mtoto ni damu yake ila kwa sasa hata changia chochote. Ungekuwa ni wewe ungefanyeje. Majibu ya kejeli sitapenda.
Kwanza kabisa nakuomba acha kuwaza sana maana kufanya hivyo kwa weza sababisha msongo wa mawazo kwako hivyo kuhatarisha hali ya mtoto aliyetumboni. Pili, mwambie Mungu, akusamehe lakini pia akupe nguvu, afya njema na ustahimilivu wa kulea ujauzito wako. Kwa kuwa Mungu wetu ni mwingi wa rehema na aliyejaa neema kwa watu wake, mtegemee yeye. Kuna watu hapa watakulaumu kana kwamba wao ni watakatifu mbele za Mungu, wapuuze. Nakuombea afya njema dada
sisi ni waoga, nyie mnajidai mnaudhubutu sanaeee au ndio "lazima unioe wewe"Aaah wapi.... Wanaume wasikuhizi waoga wa kuyakabili majukumu ya kuwa na familia mwishoe mnakuja na excuse kibao!
Halafu ungekuwa karibu ningekupiga kwenzi!!!!!!!
Umejuaje kwamba Mungu hahusiki? Kwani uumbaji umeshabinafsishwa?