Recent content by Msomi wa MNGETA

  1. Msomi wa MNGETA

    Polisi kupiga waandamanaji hadi wachakae ni halali Tanzania? Kumpiga raia anaendamana kwa amani ni halali kuliko raia kumpiga kibaka au jambazi?

    Mtu ana SMG na risasi 30 chemba anajiona mjanja kweli kweliii, kumpiga mtu asie hata na panga, Hizo bunduki mtaziona nzito, hizo bunduki mnazozikabidhi kazini mtatamani kurudi nazo nyumbani lkn itakuwa mshachelewa!!! Tatizo lakuchukua wajinga na kuwapa mamlaka kubwa ndo haya tunayoyaona sasa...
  2. Msomi wa MNGETA

    Polisi kupiga waandamanaji hadi wachakae ni halali Tanzania? Kumpiga raia anaendamana kwa amani ni halali kuliko raia kumpiga kibaka au jambazi?

    Mkuu usibishane Sana na wapumbavu/ wapuuzi humu jukwaani wengine wanajiona wajanja Sana kupiga watu Tena raia asiye na silaha, Wengi wao Ni vikuruta vya jkt, km polisi basi Ni private aliye feli kbsa!! House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  3. Msomi wa MNGETA

    Polisi kupiga waandamanaji hadi wachakae ni halali Tanzania? Kumpiga raia anaendamana kwa amani ni halali kuliko raia kumpiga kibaka au jambazi?

    Kijana unajiona mjanja Sana, endeleeni tu, mnachokitafuta mtakipata House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  4. Msomi wa MNGETA

    Kwa aliyepitia chuo naombeni mnishauri mdogo wenu hii SUA itaniua jamani .

    Ooh usijaliii Matofali Hana shida Sana, kikubwa Kabla ya kupga prob inabidi mumwone Mi mkuu lipiga ESM...hivyo hayo Mambo ya DSC cjajua labda unieleweshe vizuriii!! Kama upita vizuri kwak kazuzuru, Nyerere madam Rose basiii endelea kukaza but I mkuu House girl(dada wa kazi) Ni binadamu...
  5. Msomi wa MNGETA

    Kwa aliyepitia chuo naombeni mnishauri mdogo wenu hii SUA itaniua jamani .

    Hongeraaa Sana kwa kufika semister ya tano na Sasa upo ya sita, usijali kaza but komaa na Discussion,pitia Pepa zaidi kipindi Cha UE jitahidi kupiga Pepa zote masahihisho yaan test1,2, pia assignment Hakika graduation itakuhusu, Tumepita hapo mazimbu hao Wakina Matofali usiwaogopeee hata Tegeja...
  6. Msomi wa MNGETA

    Kwa aliyepitia chuo naombeni mnishauri mdogo wenu hii SUA itaniua jamani .

    Zipooooo za walimu wa sayansi kasoro walimu wa fizikia lakini hesabu,kemia,biologia na kilimo wapo House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  7. Msomi wa MNGETA

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba kujua machache kuhusu mkekabet, Je dau la mwisho kuweka Ni lipi? Yaani kubet unaruhusiwa kuweka hata 5mil? Je kushinda ukishinda mfano milioni 20,au 50 je watakupaje? Yaani utapataje? House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  8. Msomi wa MNGETA

    Kumbukumbu hii ya Annex Mrina Arusha Miaka ya early 2000s Haijanitoka mpaka leo

    Haaaaaaaa dogo mwanafunzi kaopoa Dem haaaaa House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  9. Msomi wa MNGETA

    NAWAZA KWA SAUTI KUHUSU HII IDADI YA WALIMU 91000 ELFU

    Ni hatariii Sana kwa taifa, ajira Serikali imeamua kuweka kapuni hii ajenda, ukifukua na kutafuta jobless graduates Ni zaidi ya laki Saba!! House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  10. Msomi wa MNGETA

    Prof. Assad ameonewa. Siri ni nzito, tuwe kimya tu

    Naona uzalendo halisi unazidi kutoweka kwa Kasi ktk viongozi wetu, hivi kuambiwa ukweli imekua dhambi na kosa siku hizi? CAG katoa hoja basi wajibu kwa hoja na si kupiga vijembe na tarabu ..hapo ndo udhaifu uliosemwa unapojidhiilisha hivi spika kuanza kujadili madeni ya Mbunge Ni uimara au...
  11. Msomi wa MNGETA

    Ipi ni njia sahihi na murua kabisa ya Kumalizana na Mtu ambaye ' anakoroma ' sana na umelala nae Chumba Kimoja?

    Duuh, mkuu hi njia IPO kitalamu? Maana sababu za mtu kukoroma 1) kuchoka Sana 2) uzito kupita kiasi 3) hewa kuwa nzito, upungufu was oksijeni 4) kurithi japo haijathibitishwa House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  12. Msomi wa MNGETA

    Saving private Ryan

    Pia zipo series za no man left behind, ziko POA Sana House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  13. Msomi wa MNGETA

    Ni mkasa gani wa mapenzi umewahi kukuumiza moyo na ni kama umekutia ulemavu moyoni?

    Haaaaa mkuu vipi ulishawai tumia usafiri wa Nyagawa? House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  14. Msomi wa MNGETA

    Ni mkasa gani wa mapenzi umewahi kukuumiza moyo na ni kama umekutia ulemavu moyoni?

    Haaaaaaaa Mkuu polee sanaa, ulikosea step mwanzo tu, ungemwambia huyo Shem wako!!! Mkuu upo Idodi kabisa au mapogoro, lyangolo haaaaaaaaa!! House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
  15. Msomi wa MNGETA

    KANGI LUGOLA: Kuna watu wamepanga kuvuruga amani Zanzibar tutawakamata kama Kuku

    Haaaaaaaaaaaaaaaaaaa daaah mkuu, Mungu akutunze miaka mingi, nimeipendaaa Sana comment yako House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Back
Top Bottom