Recent content by Msolopaganz

  1. Msolopaganz

    Polisi Kirumba Mwanza, Mmiliki Mabasi ya Batco wazidi kutesa, kutapeli wananchi Mwanza

    Kipindi ndo hotel inapigwa mnada na CRDB tulikua sehemu na jamaa zangu tukasema atakae nunua ile hotel atakuja kupata matatizo maana jamaa ilisemekana ni mafia jijini, sasa naona picha limeanza.
  2. Msolopaganz

    Uhamiaji kidogo kuna nafuu sasa

    Mimi niliandika barua kueleza juu ya safari ya kwenda china kibiashara, nikaambatanisha TIN certificate pamoja na nyaraka zote zilizo hitajika. Sikutoa hata senti moja sema changamoto niliyo kutana nayo ni birth certificate. Nilipo zaliwa nilipewa jina lingine ambalo lipo kwenye birth...
  3. Msolopaganz

    Huu udhalilishaji wa matajiri kwa wafanyakazi wao utaisha lini?

    Awa si waarabu wa Nzega, Sangilwa, Shinyanga. Waarabu koko wanamatusi kinoma, kutukana kwao nijambo la kawaida. Mfano tajiri wa kiwanda cha jambo shinyanga, jamaa yule nae kwamitusi balaa. Kufanya kazi na muhindi, mwarabu koko na mwarabu shombe shombe inahitajika uwe na roho maana wale jamaa...
  4. Msolopaganz

    Bank teller alivyotapeliwa

    Nilisha tapeliwa namimi hivi hivi pale Isibania mpakani mwa tanzania na kenye wakati tunaingia Kenya. Badaa ya kumaliza taratibu zote za checkup pale boder upande wa tanzania kisha upande wa kenya. Kwavile ilikua jpili sikufanikiwa ku change pesa mwaza, nikasema nitabadirishia mpakani. Wakati...
  5. Msolopaganz

    Machozi yamenitoka baada ya kurudi shule niliyosoma miaka 20 iliyopita.

    Wewe kama ulimaliza shule ya msingi miaka ya 1998 kurudi nyuma tuambie darasa lako mlifaulu wangapi. Kama ulimaliza miaka ya 2000 kaa kimya.
  6. Msolopaganz

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, Vincent Mashinji ni mdaiwa sugu BOA Bank

    Kichwa cha hahari BANK OF AFRICA(BOA) Tangazo la wadaiwa sugu COMMERCIAL BANK OF AFRICA(CBA)
  7. Msolopaganz

    Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

    Mabasi ya mwanza hayafiki Dar saa tatu usiku, likijitaidi saa sita usiku.
  8. Msolopaganz

    Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    Wilaya ya Ilemela mwanza watu walioomba toka mwezi wa pili hawajafungiwa umeme, sababu wanazo toa hakuna nguzo. Wewe kama maombi yako yatatakiwa nguzo inabidi usubirie foleni ya watu, mwezi huu wanafungiwa walioomba mwezi wa pili.
  9. Msolopaganz

    Shikamoo Jiwe kweli tumekubali matokeo

    Kuna brother wangu kwenye ukoo akikupa story zake za miaka kumi iliyopita unaweza shangaa. Anakwambia alikua akimaliza konyagi kubwa mbili. Kuna wakati akiwa na company yaukweli alikua anapiga konyagi kumbwa mbili na bia mbili tatu. Asubuhi anazimua na bia baada ya supu nzito. Unajua sasahivi...
  10. Msolopaganz

    Miaka ya 80 TV zilikuwa bei gani?

    Mi nakumbuka mtaa mzima palikua Mi nakumbuka mtaa mzima palikua kuna TV moja tu, tukienda kuangalia TV watoto wote tunakalishwa chini mbele ya TV. Miguu ikiwa michafu hauingii unafukuzwa.
  11. Msolopaganz

    Tarura e-parking inachangamoto

    Habari zeni wadau, nimekutana na changamoto katika kufanya malipo kwa kutumia huu mfumo wa tarura e-parking. Jana nilikua na shughuli zangu pale TRA mwanza nikapaki gari kwanje, kabla nilikua na taarifa juu ya huu utaratibu mpya wa malipo kwakutumia huu mfumo mpya. Nilipotoka baada ya kama masaa...
  12. Msolopaganz

    Asante sana Mungu kutuletea chama cha kutetea wapagazi The kilimanjaro porters assistance project (KPAP)

    Nakukumbuka fredy ulinifikisha salama kileleni mwa mlima kirimanjaro saa mbili asubuhi na kunishusha chini salama salmini.
  13. Msolopaganz

    Waziri Lugola unafahamu hili kuhusu tochi?

    Hua inatokea, mtu anaandikiwa faini kwa kosa labda la mwendo kasi jamaa akakosea kuingiza number moja tu inakula kwa mwingine.
  14. Msolopaganz

    Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Morogoro to dar es salaam 200km unatumia masaa 6.
Back
Top Bottom