Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Kuna mtu alituhumiwa katoka out kavaa yeboyebo...watu wanazoom picha balaa

Mwingine kishaanza kusema eti manengelo anaogelea mtoni [emoji1787][emoji23][emoji16]
Hahahahaahahhshs
 
Dah ndugu yako Cardio alimwambia felister anavaa sijui yeboyebo na saa ya 5000 ,kucha chafu sijui ngozi imefubaa anahitaji minerals au sijui vitamini

Hapo ni baada ya Felister kuweka picha yake jamaa akaitia kwenye VAR
Hahaha aise humu mme vurugwa sana
 
Duuh!

Hii dunia aisee!

Sijui mtu unapata wapi confidence ya kutongoza JF??!

Kumbe dada ana sura kavu mama ngozi ya uji!!!!!

Aiseeee!

JF mna vituko!
Kutongozana humu ni kawaida sana,kama ambavyo unakutana na mtu kwenye bus,haumjui wala hakujui,au sokoni,au kanisani,au msikitini,au mtaani tu,jamaa anakusimamisha humjui wala hakujui,mnaanza kuulizana majina,mnabadilishana namba,mwiaho wa siku mnagegedana!

Na humu ni hivyo hivyo,wanaanza kusalimiana,wanafahamiana kwa majina,wanapeana namba za simu,wanatumiana picha whatsapp na baadaye wanakutana na kugegedana!

Ukiangalia procedures ni sawa kabisa na zile za kukutana physically na mtu usiyejuana naye!

Usiogope,ukifuatwa Pm wewe unyesha ushirikiano tu
 
Picha yangu ukiileta humu ..nakupa radhi
Uzi upi huo nikaucheki [emoji2][emoji2][emoji2]Kuna mmoja aliazishiwa uzi na Da Jane Jamanii picha ilipo letwa nilizimia jamaa mwembamba mfano wa moja macho sasa kama kamwagiwa damu.
 
Hahaha hahaaaa
Hiyo ni lugha ya picha imetumika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sweta lililoandikwa TANZANIA kifuani kwake. Nimecheka sana Aweke tu namba wenye roho zetu tumrudshe mwanza wasijemuibia sweta lake bure [emoji16][emoji16]
 
Kuna demu mmoja alikuwa jirani yetu walihama akiwa binti mdogo. Nipo zangu field kahama. Kuna rafiki yangu tulikuwa tunachati naye si akaniambia na fulani yupo kahama. Nikaomba namba yake. Nikamtongoza akanikubalia. Baby nyingi. Tukapanga siku ya kukutana naye. Aise nilichoka, stimu zote zilikata mpaka nilishindwa kula. Nilijuta aise na mapenzi yakafa na sijawahi kumtafuta mpaka wa leo hii
Pole sana ulichokuwa unafanya ni black market business!

Kama na kuona ulivyokuwa una jari kabla hujamuoana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom