Shikamoo Jiwe kweli tumekubali matokeo

Shikamoo Jiwe kweli tumekubali matokeo

Hizo unazoongea bado ni propaganda. Kumsifia jiwe ni kujitoa ufahamu tu ila ukweli unaujua!
Mjomba mimi si shabiiki wa huyo mtu na hiyo hali unayoipata mimi na wenzangu tulishaiona tangu 2008. Tuliambiwa ni austerity ila watu hawalii kama ninyi. Kwa jinsi mlivyokua na uchumi bandia lazima wakati wa mpito muuone mbaya hasa watu kama ninyi mliozoea kuchuma bila kupanda. Mlikua na matusi sana lakini JIWE limewawrza. Unasema ati propaganda unajua nchi kama za UK watu wanapanga foleni kwenye food bank ninyi mnakosa hela ya kunywa bia mnalia kama watoto walionyimwa jojo.

Jikazeni matokeo mtakuja yaona msiwasikilize sana wanasiasa wapiga midomo kama kina MjamZitto Ruyangwa. Hao wapo hawatakosa maana ndiyo moja ya kazi yao kupiga zumari waeapate wavivu wa kufikiri kama baadhi yenu.
 
juzi
Bia haijawai kushuka thamani tuna kunywa sana na wanywaji tunapendana sana
Juzikati nilikuwa kikaoni mahali nimepiga vyombo hadi nimekimbia. Kuna mwana anashusha grants kama behewa huku majirani tukinyeshewa na ukijani wa serengeti.

Walevi watabaki kileleni😂
 
Kwakweli ki afya bia mbili kwa siku zinatosha pia katika siku saba za wiki jipe siku tatu bila pombe. Kutunza ini lako.
Kuna brother wangu kwenye ukoo akikupa story zake za miaka kumi iliyopita unaweza shangaa.

Anakwambia alikua akimaliza konyagi kubwa mbili. Kuna wakati akiwa na company yaukweli alikua anapiga konyagi kumbwa mbili na bia mbili tatu. Asubuhi anazimua na bia baada ya supu nzito.

Unajua sasahivi nini kinamsibu 😢😢 brother ana kisukari kikali sasa.
 
Jiwe oyeeee

LUGHA MAARUFU ENZI ZILEEE

1. Lete Kama Tulivyokaa

2. Muongeze 5 huyo

3. Mbona bia haziendi?

4. Usiulize, wee Ongeza tu

5. Mbona jikoni hawatusikilizi??

6. Aah,tunahudumiwa na dume?

7. Nimesema Mbuzi mzima!!

8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?

9. Kuna watu wanabusu bia!

10. Hamishia opena hapa hapa?

ZAMA HIZI SASA

1. Waruke wote, sijaja nao mimi

2. Mmh, kaongeza nyingine?

3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?

4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki

5. Tumekula majumbani kwetu

6. Nitamnunulia kaunta mwenyewe

7. Mna kongoro?

8. Lete supu tu bila finyango kwani shi'ngapi?

9. Siku hizi inashauriwa bia 2 tu kwa afya

10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua

11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine sizijui...
😀😀😀
NA BADOOO! WAKRISTU WAKATOLIKI ZAMA HIZO WALIKUA WANAIMBA TUTALIA NA KUSAGA MENO. LK 13:28
😂😂
😂😂😂😂
Jiwe fala sana, halaf lenyewe linajitajirisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom