Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Teller yeyote akikupa hela ukaishika mkononi ukimrudishia kumwambia akupatie chenchi kama ilivyo lazima ahesabu upya. Huyo mzembe kama ni kweli
anyway ni vizr kutupa matukio tofauti ili tuwe na experience na kudhibiti pale yanapo jitokezaMkuu nilihusika kwenye investigation kabla sijabadili fani, kiufupi kuna matukio kama hayo kibao
Wacha nikupe hii iliyotokea Tabora, benki sihitaji. Mdada naye teller kashapata mchongo wa shule ughaibuni alafu hela hakuna. Akajipanga akapata visa na tiketi kila kitu tayari. Karudi job kachungulia akaunti ya ghabachori moja kavuta mkwanja wa maana hiyo Jumamosi na safari J3. Hawa matajiri wengi walikuwa wanachukua statement zao kila mwisho wa mwezi, kwa sasa nadhani teknolojia imekua. Jumatatu binti haonekani kazini bila taarifa, simu haipatikani. Wanakuja kujua ukweli mwenzao ashaondoka. Sijui mwisho wake ilikuwaje.anyway ni vizr kutupa matukio tofauti ili tuwe na experience na kudhibiti pale yanapo jitokeza
duh! Binti alijiongeza sema zitatumika fresh TU maana pesa haichagui mwenye dhambi Ina mtii kila mtuWacha nikupe hii iliyotokea Tabora, benki sihitaji. Mdada naye teller kashapata mchongo wa shule ughaibuni alafu hela hakuna. Akajipanga akapata visa na tiketi kila kitu tayari. Karudi job kachungulia akaunti ya ghabachori moja kavuta mkwanja wa maana hiyo Jumamosi na safari J3. Hawa matajiri wengi walikuwa wanachukua statement zao kila mwisho wa mwezi, kwa sasa nadhani teknolojia imekua. Jumatatu binti haonekani kazini bila taarifa, simu haipatikani. Wanakuja kujua ukweli mwenzao ashaondoka. Sijui mwisho wake ilikuwaje.
Madogo wameajiriwa branch ya Mtwara halafu wakakbidhiwa kuoperate ATM, Branch controller naye kawaamini asubuhi anaacha kubalance akaunti ya ATM. Madogo pesa zinazobaki jana yake wanaweka pembeni wanabalance akaunti alafu wanaweka hela zingine kwa siku husika. Baada ya miezi michache washanunua magari na mishahara miaka ile ilikuwa midogo lazima uchukue mkopo ndo ununue gari. Madogo gheto limesheheni mazaga kibao. Ikabidi tuitwe wazee wa fraud investigation miaka hiyo. Wangekuwa wajanja walikuwa hawana kesi na msala ungebaki kwa controller. Madogo tumewaweka sawa na ahadi kemkem wakaingia line. Msala ukawa wao na kazi ikaisha. Sijui wako wapi siku hizi.duh! Binti alijiongeza sema zitatumika fresh TU maana pesa haichagui mwenye dhambi Ina mtii kila mtu
Yani teller apewe pesa tena asithibitishe kama amount ipo sahihi? HAIWEZEKANI. Teller atasahau vyote lakini si kuhesabu pesa..Hiyo ni kanuni namba moja ya bank teller.Iko hivi..
Jamaa mmoja alikuwa na Dola za kimarekani elfu kumi (kama milioni 20 za kitanzania). Akafika bank na kwenda dirishani moja kwa moja.
Baada ya kufika dirishani akampa pesa hizo dola ili abadilishe na kuwa pesa za kitanzania. Yule teller akapokea na kuzihesabu pamoja na kuhakiki kama ni halali. Baada ya kuridhika nazo kuwa zipo sawa wakati anataka kuanza kuhesabu za kitanzania yule jamaa akauliza exchange rate ipo vipi?
Akatajiwa akasema ndogo sana naomba dola zangu. Akarudishiwa akajifikiria kama sekunde kadhaa akamrudishia tena yule teller basi nipe hivyo hivyo tu.
Yule teller bila hata kuzikagua tena zile Dola akapokea na kuanza kumuhesabia jamaa pesa zake na kumpatia.
Jamaa akaondoka, kufika muda wa kufunga hesabu anafungua zile dola anakuta ya juu na ya chini ndio pesa halisi. Yaliyobaki yote makaratasi.
Maoni yangu:
Matapeli wawe wanachomwa moto maana wanaharibu maisha ya watu fikiria pesa zaidi ya milioni ishirini unaenda kumtapeli mwenzio ni sawa na kutaka kumuua.
Nawasilisha.
Stories ya kutunga haiwezekani. Yani upewe kibunda bila kuzifungua.
Otherwise tuambie ilitokea wapi?
Yule Tapeli alipata kipigo cha nguvu, halafu wakampeleka Polisi..Aisee hakuwashaa motooo???