Recent content by MSIPI

  1. M

    Ni lipi gari maalumu kwa serikali ya Tanzania

    Ndugu, wadau nimekuwa nikiitizama Nchi yetu kwa muda mrefu na kuutafakari uelekeo wetu na kushindwa hata kuamua kwa vitu vidogo kabisa. Hebu fikiria hadi leo hii, Tanzania na ikiwa ni hivi majuzi tu, tumetoka kusheherekea nusu karne ya kuutumikia uhuru wetu, lakini bado tumeshindwa hata mambo...
  2. M

    Zitto, Makamba wautaka urais?

    No! Problem sir, with that so long as they have the same idiology in fighting against selfish. Ushirikano ni mzuri sana katika mustakabali wa kujifunza mambo na kuikulia siasa, learn what others are doing so that you can be more perfect.
  3. M

    Zitto, Makamba wautaka urais?

    Jamani! Kweli vijana tunahitajika katika kushiriki maamuzi ya mustakabali wa nchi yetu, lakini sio mpaka tuwe marais, tunaweza tukashiriki kwa namna tofauti tofauti. Nafasi ya uraisi yataka Hekima sana ya hali ya juu kuliko hawa ndugu wanavodhani, hebu fikiria hawa jamaa Zito na mwenzake Makamba...
  4. M

    Tanesco; Hivi kuna mgao wa umeme kimya kimya?

    Wana JF, hebu nisaidieni na haka kamgao ka kimya kimya. Ni karibia takribani wiki moja sasa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa upatikanaji wa umeme na kugundua kwamba unakatika zaidi ya masaa saba kwa siku. Sasa kama kuna mgao si wangetuambia. Hivi huyu waziri Ngeleja mzee wa mikakati anafanya...
  5. M

    Mwigulu ashutumiwa kwa kuleta mkanganyiko Arumeru - Apendekeza Jina la 1 hadi 4 yakatwe

    Huyo ndo Mwigulu mpenda sifa tangu siku nyingi, tangu akiwa Ilboru anapenda sana misifa na sasa anatafuta umeneja compaign. Utamtaka ubaya msukuma/mnyiramba huyu.
  6. M

    Benki hii sasa ni ya kikanda zaidi

    Habari wana JF, Ndugu zangu kuna benki moja nchini hapa kwa muda mrefu imekuwa ikionekana kwa viashiria kwamba ni benki ya kikanda. Hebu fikiria kwa muda mrefu mkutano mkuu wa wana hisa Annual General Meeting (AGM) imekuwa ikifanyika katika mji huo huo kila mwaka yaani pale Geneva of Afrika kana...
  7. M

    Kikwete huyu ni yule wa enzi zile?

    Yah! Brothers Kikwete is still mtu wa watu, anagonga sana mikono na watu katika ziara zake mbalimbali. Anahudhuria misiba sana na kutembelea wagonjwa, anapenda sana sherehe na ni mtu wa tabasamu kila wakati. Jamani hapo mnataka nini tena?
  8. M

    Yuko wapi jembe huyu tido muhando

    Ndugu zangu wana Jf mnamkumbuka jembe huyu Tido Muhando? Sote tunakumbuka enzi za Radio Tanzania (RTD), na TVT. Sasa vyombo hivi vina sura mpya na muonekano mpya kabisa, hatutakuwa na fadhila katika hili bila kumkumbuka kamanda Tido Muhando. Ndugu zangu wana Jf nani anafahamu alipo jemedari huyu...
  9. M

    Baraza la mawaziri kuvunjwa. Mwakyembe, Mwandosya kutoswa

    Mie siungi mkono bwana umeboa sana. Kawambwa! Nyalandu! unawafahamu vizuri au umewapenda kwa sura zao na uungwana wao pale wanapoongea. We need people who are serious so that we can advance further bwana.
  10. M

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    Ni hali ngumu tu ya utashi wa utatuzi wa mambo yanayolikabili taifa na kuangalia vipao mbele vya taifa.
  11. M

    UPDATES: Kikao Cha Waziri Mkuu na Madaktari CPL (Central Pathology Laboratory)

    Kaka Ulimboka please, msidanganyike. Tengenezeni mkataba ili msiuziwe ng'ombe kwenye gunia. Kazeni buti kaka.
  12. M

    KIKWETE huyooooooo FINLAND

    Serious?
  13. M

    Wanaharakati leo kufanya unthinkable action!

    Ujumbe unafika lakini? Huyu waziri wa Afya bado anafanya nini? Si aondoke tu jamani, binadamu tuwe na aibu jamani.
  14. M

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Hali ni mbaya jamani, tunaiomba serikali sasa iliangalie suala hili kwa kina na isiwe la kisiasa zaidi, jamani suala la madaktari ni la kitaalam zaidi na si la kupiga bla,bla. Serikali mko wapi?
  15. M

    JK's worst blunder[s] katika utawala wake. Wapi alikosea zaidi tokea awe rais?

    Kuwa na mawasiliano mabaya katika ofisi yake hadi kupelekea taarifa tofauti. Mfano issue ya Jairo na Luhanjo.
Back
Top Bottom