Benki hii sasa ni ya kikanda zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benki hii sasa ni ya kikanda zaidi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MSIPI, Feb 27, 2012.

 1. M

  MSIPI Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF, Ndugu zangu kuna benki moja nchini hapa kwa muda mrefu imekuwa ikionekana kwa viashiria kwamba ni benki ya kikanda. Hebu fikiria kwa muda mrefu mkutano mkuu wa wana hisa Annual General Meeting (AGM) imekuwa ikifanyika katika mji huo huo kila mwaka yaani pale Geneva of Afrika kana kwamba hakuna mikoa mingine ambayo ina kumbi nzuri zenye uwezo wa kuchukua idadi ya wanahisa wa benki hiyo.Katika utafiti wangu benki hiyo kwa sasa ajira zake ni za kiukanda ama kutokana na Mkurugenzi Mtendaji wake mkuu kwa kutokuliona hilo, hivi sasa ili upate ajira ukiwa unatokea ukanda huo wa kaskazini ni rahisi sana kupata ajira. Hivi majuzi benki hii sasa imekuja na huduma ya benki kupitia simu ya mkononi kwa kujidhihirisha kwamba na kutokutambua wamejikuta wamebuni matangazo ya ukanda huo tu, tangazo lao la kwanza katika huduma hiyo ni la kimasai na hili la pili ni la Kichaga, jamani hebu tuwaambie wenzetu wabadilike na wasijisahau sasa. Ifike wakati sasa mkutano wa wanahisa wa mwaka AGM ufanyike katika mkoa mwingine sasa mbali na Arusha, matangazo ya kibiashara yatoke pia kwa kufikiri kwamba kuna wigo mpana wa Watanzania wanaopata na kutegemea huduma kutoka katika benki hii, ajira ziwe na usawa kwa watanzania wote.

  Ahsante ni mimi mdau mpenda maendeleo.
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Kama umeweza kutaja hayo yote, umshindwa nini kuitaja. Kama ni CRDB, NMB au NBC ya Makuburu wewe sema tu!!


  Babu DC!!
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,801
  Likes Received: 6,611
  Trophy Points: 280
  we unataka kwenye matangazo wamwigize mkweree au mzaramo ili wapate hasara...khaaa
   
 4. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi unajua namna AGM (kama chombo ndani ya shirika/kampuni) kilivyo na nguvu? kama unahisi madai yako yanaukweli kwa nini usiyafikishe kwenye mkutano huo ili wanahisa wachukue hata muafaka!
  Na kama wewe si mwanahisa unaweza ukatafuta aliye mwanahisa akalifikisha hilo, au hapa JF ndio moja ya hatua ulizoanza kuchukua?
  Kimsingi suala la kupendelea kufanya mikutano Arusha mara kwa mara (si kwa hiyo benk tu unayoisema bali hata serikali) halina afya kwa ustawi wa watanzania wengi kwa mapana yake, kwan tulitegemea hii mikutano ingeweza kugeuzwa conference tourism na kupandisha chati za sehemu nyingine kama Mbeya, Iringa.. lakin tatizo la mikoa mingi nayo haina kumbi zinazokidhi haja kama Arusha.

  Na hili la kupendelea watu wa kaskazini, sitalisemea lakin ungefanya utafiti kabla ya kufikia hitimisho ungegundua kuwa si kweli. Kwa mfano ukienda UDBS, hasa course ya BCOM kuna asilimia ngapi ya wanafunzi wenye asili ya kaskazini? Sidhani kama watu wanaajiriwa kwa kuangalia makabila yao bali elimu zao
   
 5. Rock City

  Rock City JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,270
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Shortly ni CRDB
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 21,271
  Likes Received: 3,946
  Trophy Points: 280
  Nadhani hoja yako sio makini........hapa ni wazi unaiongelea CRDB......inabidi uelewe kuwa shares zao ziliuzwa kwa IPO na watu wote walikuwa huru kununua bila kuulizwa ukanda..........inawezekana kabisa watu wa kaskazini kutokana na mwamko na uhamasishaji walinunua hisa nyingi zaidi..... .sasa kama wanahisa wengi wanatoka kaskazini basi AGM ipelekwe Mtwara kwa manufaa gani?
   
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,496
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Si useme ni CRDB Tu , kwani nani atakuchapa ?
   
 8. Chriskisamo

  Chriskisamo Senior Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,477
  Likes Received: 1,842
  Trophy Points: 280
  hata wanaopewa mikopo mikubwa kuanzia 1bn ni wachaga tuu!
   
 10. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Hii benki nyie mlionunua hisa zake karibuni mtalia kwani your management is very poor na ndio maana shares zenu kwenye DSE hazina bei; mnashindwa na hata Dar es salaam Community Bank!! Amkeni hao jamaa wanawaibia fedha zenu na kujenga majumba tu!!
   
 11. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,601
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  What a peace of brown slug!!............smelly!!!
   
 12. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hiyo bank kama unatokea umangini lazima upate job,otherwise utaishia kutuma Cv mpaka uchoke,they have to change,wawe equal opportunity!wanaboa kwakweli na ukabila wao!!kimei wake up please
   
 13. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Kimsingi KIMEI hahitaji kuamka, anahitaji kuondoka. Uchumi wa SOKO huria umemshinda hususani hili soko la hisa
   
 14. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  very true mkuu,but jamaa seems kashika mpini,nani wa kumvisha paka kengere!
   
 15. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,273
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  CRDB kama sio mchaga kupata kazi ni ngumu sana! Hata ma HR wengi pale ni wachaga.
   
 16. d

  dav22 JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,905
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  yap jamaa naona kashindwa sema ni CRDB bana
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  CRDB 'The bank that listens" bila shaka imewasikia!
   
 18. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #18
  Feb 29, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,217
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Hata ukienda vyuoni na mashuleni wengi ni watu wa kaskazini,hilo halina ubishi....So ulitegemea kwenye soko la ajira uwiano uwe vip,kwa kuzingatia vigezo vilivyowekwa.Na ukumbuke watu wa kaskazini wametapakaa TZ nzima kwa wingi tena wakiwa na elimu ya kutosha,so kunapokuja suala la kuitwa kwenye interview huw wanajitokeza tofauti na makabila mengine ambayo unaweza kuwakosa kabisa,that is probability opportunity inakuw kubwa kwao kweny kuchaguliwa.TUSILALAMIKE SANA WAKAT WATOTO WETU HATUWAPI ELIMU NZURI NA YA KUTOSHA.NIMEKUPA MFANO MDOGO KAANGALIE VYUONI HASA VYUO VIKUU,ANGALIA UWIANO WA WANAFUNZI WANAOTOKA KASKAZINI NA KANDA NYINGINE...UNATEGEMEA NA KWENYE SOKO LA AJIRA HAO WATU WASITAFUTE AJIRA KWA AJILI WAMETOKA KASK.NENDA KWENY SHULE ZA SEC KULE HATA KAMA NI ZA KATA UTAONA UTOFAUTI MKUBWA NA SEHEM NYINGINE,ni nyingi na zenye uafadhali mkubwa wa ubora.KUNA MAMBO MENGI AMBAYO WATU TUNATAKIW KUELEWA NA SI KULALAMIKA TU.Nimeishi sana Mbeya,Moro,Dom,Songea ila kwenye suala la elim kwenye mikoa hiyo ni tofauti sana na KLM na Arusha sijui kw mikoa mingine....Ingekuwa jamaa wa sensa wanatoa kiwango cha elimu kwa watu wenye asili ya kule hata usingelalamika san kuhusu ajira zao.
  Kwa hilo pia watz tungelalamika basi mbona wahindi walio wengi hap kwetu tz ni matajiri,chunguza sourse kwanza then ufunguke sio unaongea tu bila kujua sourse ya mambo.
  Tusomeshe vijana wetu na tujenge shule zenye ubora kwa watoto wetu kwa maendeleo yao ya baadae
   
 19. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #19
  Feb 29, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,217
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Ok mi natoka kule so nikitaka mil10 ntapata hata kama sina vigezo,mbona hujaongelea suala la kigezo,wewe una uwezo wa mil 10 nani akupe mil 100.nani ambaye unamjua hana vigezo vya kupata hiyo hela then kaipata kwa ajaili ni wa kask.

  If you don have a data,no right to speak....

  Suala la ukaskizini linakuzw tu na si kwa kiwango kinachosemwa,watu wanjitahidi kwa maarifa yao mnasema upendeleo,mbona mikoa mingine tunaifaham ilivyo,kwa hiyo either makampuni wachukue watu ambao hata vigezo hawana kwa ajili tu ya ku-balance tribalism,si sahihi....

  Hata walioko nje ya nchi wanaofanya kazi huko S.Africa,Ulaya,Marekani na kwingineko napo wamependelewa kwa sababu wametoka kask.mwa Tz mana hata walioko nje ya nchi wanaofanya kazi na wasiofanya kazi wengi ni kutoka Kask.Mkiambiwa msomeshe ndg zenu walioko mikoani inakuwa vigum ila kulalamika tunaweza, neda kask uone watu wanavyosaidiana kwenye kutoka na kusomeshana.Ila kunasehem nyngne hasa kusini baadhi ya maeneo niliokwishafika, mbaya wako kwenye maendeleo ni ndugu yako tena wa damu,so kihivyo kule haipo hivyo,mila na taratibu za kule zimetujenga vyema....
  Leta jingine
   
 20. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #20
  Feb 29, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,217
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Ukiacha hizi bank zinazotoka nje kama Baclays.standard charter nk,ni bank gani nyingine za hapa nchini zinazoifikia bank ya CRDB kwa huduma nzuri,ubora na efficiency.

  Hongera Kimei na anaweza ameitoa bank ile mbali na huduma nyingi ni nzuri na nyingine hazipatikani kweny bank nyingne zozote za hapa nchini sio za za kutoka nje maana hizo huduma zake sizifaham
   
Loading...