JK's worst blunder[s] katika utawala wake. Wapi alikosea zaidi tokea awe rais?

H+E+Jakaya+Mrisho+Kikwete+Presidential+Image+A.jpg



Bingwa wa kuuza sura, na hii suti itakuwa moja ya zile tano.
 
Kuwa na mawasiliano mabaya katika ofisi yake hadi kupelekea taarifa tofauti. Mfano issue ya Jairo na Luhanjo.
 
Kushindwa kukataa kujiuzulu kwa Lowasa kama walivyokubaliana na kukubali matakwa ya Chadema katika marekebisho ya katiba
 
quote_icon.png
By MNYISANZU

Tuwe specific, unadhani ni ipi blunder kubwa zaidi aliyoifanya JK katika utawala wake tokea awe rais 2005 up to the present? .Nawasilisha
Swali zuri sana, nnakuhakikishia, hakuna ataekuja na jibu la maana, utaona porojo tu za hali ya juu.

Bibi umekurupuka...soma vizuri utaelewa Mnyisanzu anawaza nini juu ya Jk.
 
blunders ziko kibao kuliko mafanikio yaani kikubwa alichofanikiwa yeye ni ongezeko la blunders kadili siku zinavyozidi kwenda mbele maana tukiziweka hadharani haziishi
Ni vema zaidi mkuu kama ungezitaji baadhi ya hizo blunders. Kumbuka hili ni jukwaa mkuu.
 
Kuwa na mawasiliano mabaya katika ofisi yake hadi kupelekea taarifa tofauti. Mfano issue ya Jairo na Luhanjo.
 
Back
Top Bottom