Mleta uzi hii ndio siri eeh, sidhani kama una akili timamu, unakurupuka huko na viroba na bangi zango unatuambia tope ndio siri, kaa kimya jpili sio mbali, mwenye kaya kaisha anza tapatapa we ndio nani huna lolote mtumia Jk huu uzi anaweza pata faraja kwa jinsi anavyoweweseka, oh wapiga kura...