Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

wewe naye kituko

unachekesha sana ndio nyie vigeugeu mnataka vyeo bila kujali wananchi

lazima unamwogopa Magufuli sababu na wewe ni mla rushwa ndio mnaoharibu nchi hii mnajua jembe akiingia mnalo mtanyooka tu
 
Hakuna cha bao la mkono wala kiwiko, na swala la kujipanga 2020 sahauni, kwani tunaenda kuizika CCM mliyoshindwa kuyatimiza kwa zaidi ya miaka 50, ukawa utayafanya kwa miaka 10 tu, nani awarudishe mfu akishakufa ukimwona mkimbie sio mwenzako magamba hayo.
 
shame on u!!!nani kakwambia wingi wa wa2 kwenye mikutano ndo udhindi!!!wengine wameenda kushangaa huyu ndo wanasema mgonjwa!!!fisadi!!!thread yako ipo kichagadema na c ki ccm

THAT SHAME WILL BE ON YOIR FACE:
1.Una mawazo mgando...
2.Nani kakwambia wingi wa mabao sio ushindi?
3.Wanaokusanyika sio wapambe ni wapiga kura
Nb:YOU WILL BE SCARED KAMA TULIVYOJIANDIKISHA KUPIGA KURA NDIVYO TUTAKAVYO WA SCARE KWENYE KURA...COMEON!!!
 
Sema ukweli wako ndugu huna haja ya ku-pretend.

Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kunawakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020.Gari ama mashine yeyote ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!MUNGU ibariki TANZANIA.
 
Hahahahahahahaaaaaaa........Kwa kweli nimependa bandiko lako mkuuu. Peopoooooooooooooooz.........
 
Kwa vile baada ya uchaguzi mshindi atapatikana bila kujali ni nani tumpe ushirikiano tusonge mbele bila kujali itikadi zetu kisiasa. Bado watoto wetu wanahitaji kuishi maisha bora,kama ni somo nini cha kuwatumikia wananchi tumeshapata tulijisahau sana!
 
Huo ndiyo ukisikia unafik.

Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kunawakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.Gari ama mashine yeyote ile hata iwe tingatinga ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!Kataa vitisho,kataa kununuliwa kama bidhaa,kataa uchochezi,kataa michezo michafu ya Kisiasa...Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!
 
Jisemee mwenyewe Mimi na marafiki zangu pamoja na familia yangu Kura zetu kwa tinga tinga jembeeee Dr.magufuli hatuwezi kumachaguwa mwizi wa Mali ya umma.wakati mnamwita fisadi mlikuwa na akili timamu au ndo kutufanya watanzania mazezeta? Malofa kweli nyie.
Wewe unayejiita Lancanshire, kwanza sijui kama unajitambua. Ikiweza kunipatia majawabu ya maswali haya hakika leo hii nabadili msimamo naenda kujiunga na CCM.
1.Katika List of Shame Rais JK NI MIONGONI MWAO. JE UNALIPI LA KUSEMA JUU YAKE?
2. KATIKA SCANDAL YA RADA MH CHENGE NI MHUSIKA MKUBWA WA UFISADI WA PESA ZA UMMA JE UNASEMAJE JUU YAKE?
3. ESCRAW ACCOUNT WAH JIBAIJUKA, CHENGE, NGEREJA, RAIS JK MWENYEWE,WATUMISHI WA IKULU BAADHI YAO,FAMILIA YA JK WANAHUSIKA MOJA KWA MOJA. JE UNASEMAJE PIA JUU YA HAO WATU?
4. MWISHO SIKENDO ZA MADAWA YA KULEVYA NA UJANGIRI WA TEMBO NA FARU WETU MPAKA RAIS JK AKAKILI HADHARANI KUWA ORODHA ANAYO NA ATAIWEKA HADHARANI NA KUWA AMEKUTANA NA MAJANGIRI WAPATAO TAKRIBANI 40 NA KUZUNGUMZA NAO,JE RAIS WA NCHI UNAPATA WAPI UWEZO WA KUWAONGOPEA WANANCHI WAKO KISHA USITENDE IKUPASAVYO KUTENDA KWA MJIBU WA KATIBA?
NARUDIA, NAHITAJI MAJAWABU NA SIYO MAJIBU.
PUMBAVU MKUBWA WEWE.
 
Mimi mwana CCM Kindakindaki naapa kuwa nitampigia kura Edward Ngoyai Lowassa anayeiwakilisha CHADEMA kupitia mwamvuli wa Muungano wa vyama vya UKAWA. Kama kunawakati ambapo CCM inahitaji kujipanga vyema na kurekebisha mapungufu yaliyopo wakati huo ndio sasa.Kwa yeyote anayeipenda CCM kama mimi,naomba kwa Moyo Mkunjufu tuiweke CCM pembeni ili ikajikague,ikajitafakari na kisha ijipange kwa ajili ya 2020 - 2025.Gari ama mashine yeyote ile hata iwe tingatinga ikiharibika sharti iwekwe pembeni ili ifanyiwe marekebisho.Ukiilazimisha iendelee na kazi ama iendelee na safari madhara yake ni makubwa sana kwa abiria,mazingira na hata watu waliokaribu na mashine hiyo!!Kataa vitisho,kataa kununuliwa kama bidhaa,kataa uchochezi,kataa michezo michafu ya Kisiasa...Jiandae kupiga kura yako kwa Diwani,Mbunge na Rais wa UKAWA.....MUNGU ibariki TANZANIA na watu wake wote!!

Huna u CCM wewe ni mnafik tu.
 
Hapana, tusikubari kushindwa kirahisi hivi, kumbukeni kuna hii kete ya ACT, inaweza kugawa kura za Lowasa. CDM Vasili wanaweza pigs kura za hasira Kwa ACT...
 
Back
Top Bottom