Uloi nga mâché68
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 486
- 153
Kama mwanamabadiliko nimetafakari na kugundua kwamba tumeingizwa kwenye chaka na hawa wanaotudanganya wataleta ukombozi.
Kwa sababu hiyo nimejitambua kwamba tumedandanywa kwenye maeneo yafuatayo:
1. Eti siku 100 tu zitaondoa umasikini!
Hapa nimebaini kwamba tunadannganywa kwa sababu hao wanaoongoza mabadiliko walikuwepo serikalini kipindi kirefu tu na umasikini bado upo! Mmmm kumbe changa la macho! Nimestuka!
2. Elimu bure kuanzia chekechea hadi chuo kikuu?
Mbona tulishaachana na sera hiyo miaka ya 90? Hao waongoza mabadliko waulizeni wanajua sababu ya kuachana na sera hiyo!
3. Kulipa wenyeviti wa mitaa,vijiji na vitongoji mishahara!
Halmashauri zenye mapato makubwa zinalipa posho kati ya 20000 na 30000 kwa mwezi lakini mambo bado magumu!
Halmashauri nyingi zinashindwa hata kulipa posho za vikao! Hivi waenzangu mnaujua ukweli huu?
Bora zimwi nilijualo! Sidanganyiki!