Sitting allowance ya Wabunge ifutwe au isifutwe?

Sitting allowance ya Wabunge ifutwe au isifutwe?

Status
Not open for further replies.

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,611
Reaction score
164,629
Katika kuunga mkono dhamira ya mh.Rais ya kubana matumizi ya fedha za serikali, naomba tupige kura kupendekeza either sitting allowance za wabunge zifutwe au zisifutwe.

Ningeomba hii Poll ihusishe pia JamiiForums facebook account.

Jibu tu "NDIO" au "HAPANA".

Hapa itikadi zetu hazina nafasi kabisa.
 
Zipunguzwe kuendana na uchumi wa Nchi yetu
Hata magari yabadilishwe pia kama itawezekana
 
zifutwe sababu ni moja ya kazi yao…mshahara si wanao jamani...
 
zifutwe.

NB: waeleweshe watu kuwa ni allowance zipi unaongelea maana wengi humu hawaelewi chochote
1. Kuna per diem ambazo wanalipwa-hizi zinaweza baki kwa sababu ni stahiki yao kwa sababu wako nje ya majimbo yao
2. kuna sitting allowance; hizi ni hela wanazotuibia kwa kukaa kwenye viti vya bunge. nasema wanatuibia kwa sababu wamechaguliwa ili wakakae kwenye viti hivyo kama ilivyo kwa daktari kuattend mgonjwa au kwa mwalimu kuingia darasani.
naamini unamaanisha hii ya pili. ZIFUTWE KABISA IBAKI PER DIEM TU. halafu umesema wajibu hapana au ndiyo, kwa jinsi ulivyoi-present thread yako haieleweki. watu wajibu zifutwa au zisifutwe.

Hongera kwa mkombozi Zitto kwa sababu yeye alishaonesha njia kuanzia bunge lililopita na sasa tuna huyo kijana wa singida elibariki (kama ni kweli lakini)
 
JPM ondoa mashangingi serikalini. Yabaki 2 kila taasisi. Iga walivyofanya Rwanda Lesotho na Afrika ya Kusini.
 
Posho zooote serikalini ZIFUTWE sio za wabunge tu hata za taasisi zote za umma, na hizo per diem zipunguzwe kabisa, kwabi bunge la nyerere zilikuwepo? Unaposema wapo nje ya eneo la kazi na WALE WA VITI MAALUM kwanini wapewe per diem? Futa
 
zifutwe.

NB: waeleweshe watu kuwa ni allowance zipi unaongelea maana wengi humu hawaelewi chochote
1. Kuna per diem ambazo wanalipwa-hizi zinzweza baki kwa sababu ni stahiki zake kwa sababu wako nje ya majimbo yao
2. kuna sitting allowance; hizi ni hela wanazotuibia kwa kukaa kwenye viti vya bunge. nasema wanatuibia kwa sababu wamechaguliwa ili wakake kwenye viti hivyo kama ilivyo kwa daktari kuattend mgonjwa au kwa mwalimu kuingia darasani.
naamini unamaanisha hii ya pili. ZIFUTWE KABISA IBAKI PER DIEM TU. halafu umesema wajibu hapana au ndiyo, kwa jinsi ulivyoi-present thread yako haieleweki. watu wajibu zifutwa au zisifutwe.

Hongera kwa mkombozi Zitto kwa sababu yeye alishaonesha njia kuanzia bunge lililopita na sasa tuna huyo kijana wa singida elibariki (kama ni kweli lakini)

Uko sahihi kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom