Recent content by msikivu66

  1. M

    JamiiForums Tanzania [Reggae] Damian Marley - Nail Pon Cross

    Cool a dem vibes, reggae Haffi conquer still
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda.

    Nabii umetisha...!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

    Mbona yupo Poa tu, laziada Ni picha ya juu kavaa kitu juu ya Blazer, nadhani ndio iliyo mtoa vibaya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajali pikipiki aina ya Boxer na gari aina ya taxi zimegongana

    Na hii ya boxer ilibeba dereva na abiria... Inasikikaje mkuu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Muscat Oman

    Mkuu, Oman Ni Tanzania-B na Tanzania Ni Oman-B, nakubaliana na wewe wale ni wenzetu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya Rais kuhusu Wahehe inanikera sana

    Kwani akiwa Mwanza huwa anaongea na wasukuma? Nadhani huwa anaongea na watanzania kwa ujumla wetu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii Imenivunja mbavu Leo...!

    Akili Ndogo kakukosea nini?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Robert Mugabe kugombea tena urais mwaka 2018

    Nadhani ndio nia yake mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa dada zetu ni nani kawaroga_?

    Nimekoma mimi mkuu
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

    Nashauri watu wawe wanakwenda makanisani na misikitini kutoa sadaka za shukrani kwenye siku zao za kuzaliwa badala ya kufanya hizo birthday parties za kujifurahisha wao, atoae zawadi ya uhai na afya ni Mungu Mwenyezi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Na zungumzia afrika mashariki! Ukombozi unatoka wapi? Matusi ya nini? Au ndio ukenya ume kukolea? Kweli Mimi Ni mswahili na wakujivunia
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Binafsi nawajua wakenya, nimeishi kwenu Kama investor, vitusi vyako uchwara havinitumbui, our history speaks it all.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Kaona nini tena! Nimemfafanulia hapo juu, the called neighbor is more than what we see of him
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Umesema kweli mkuu, ndio maana Nasema serikali zetu za nyuma zilikua na shida, naamini serikali hii inaliona hili kama wewe na Mimi tunavyo liona, uko sahihi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Tatizo ni serikali zetu za nyuma, KIA inauwezo kama Airports za Dar na Nairobi, kwa hilo ondoa shaka
Back
Top Bottom