Tokyo40
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,065
- 1,926
gesi yetu wajameni itatufikisha huko?
Ikitumiwa vizuri pamoja na serikali yetu.
Lakini safari ni refu sana.
gesi yetu wajameni itatufikisha huko?
Na wewe ndio umechangia thread?Lo walipata faida sana kwenye biashara ya watumwa
Mkuu kuna baadhi ya maeneo unachange tu, from Oman rials to Thai baht hapo Bangkok, hata Pattaya kuna sehemu unaweza change Oman rials,ungeuliza wenyeji wangekuelekeza,watalii wengi wanaoenda Thailand ni from GCC countries ""Nchi za gulf"You won't regret it. Imetulia sana.
Pesa yao ina thamani kubwa ndani ya nchi.
Omani Riyal is pegged to US dollar at 2.6 US to 1 Omani Riyal.
Lakini nje ya GCC countries, jumuiya yao, huwezi kuitumia.
Mimi sijaweza kuchenji Riyal Yao Bangkok. Hawazitaki.
Mkuu kuna baadhi ya maeneo unachange tu, from Oman rials to Thai baht hapo Bangkok, hata Pattaya kuna sehemu unaweza change Oman rials,ungeuliza wenyeji wangekuelekeza,watalii wengi wanaoenda Thailand ni from GCC countries ""Nchi za gulf"
nauli yake kutoka Tz to Oman??
Ktimoto wanaingia vipi hapo Muscat?Oman Air inakuja Dar. $500 -$600 return. Direct flight.
Oman Air inakuja Dar. $500 -$600 return. Direct flight.
Ktimoto wanaingia vipi hapo Muscat?
Endeleeni kututamanisha maisha ya wenzetu
Mhj hao waafrica kwa kujiaibisha hadi aibu
Hahahaaa!! Thailand ni Nchi hatari sana aisee,unaweza ukasahau kurudi kwenu,kuna wazungu na hasa wazee wameamua kabisa kuhamishia makazi yao huko kutokana na maisha kua cheap,ila Thailand ukikamatwa na mtoto wa shule ni kesi kubwa sana!Kusema ukweli, siyo raia wa Afrika tu.
Hata raia wao wenyewe wanajiuza sana. Wanatoka kijiini, hawana elimu na kazi rahisi na inalipa haraka ni kujiuza kwa watalii milioni 30.
Watalii wengi ni "Sex Tourist". Na Thailand wamejiandaa kuwahudumia jinsia zote.
Mara nyingi, wageni wazee wanachanganyikiwa na raha za Thailand. Wanarudi kwao, wanavunja ndoa na kurudi Thailand kuoa demu wa miaka 19 aliyekutana nae baa.
Hahahaaa!! Thailand ni Nchi hatari sana aisee,unaweza ukasahau kurudi kwenu,kuna wazungu na hasa wazee wameamua kabisa kuhamishia makazi yao huko kutokana na maisha kua cheap,ila Thailand ukikamatwa na mtoto wa shule ni kesi kubwa sana!
Hii picha mbona INA radi au mvua ilikuwa inanyesha